Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
MashaAllah=Sahihi/Shukrani sana kwa Mwenyezi Mola.Hujanijibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MashaAllah=Sahihi/Shukrani sana kwa Mwenyezi Mola.Hujanijibu
Kwamba mashallah maana yake ni sahihi/shukrani?MashaAllah=Sahihi/Shukrani sana kwa Mwenyezi Mola.
Tathmini umeitoa Ligi gani mkuu....Kwasasa Simba imeshajipata.
1. Ina safu ya ushambuliaji kali kuliko timu yoyote ligi kuu. Very aggressive
2. Ina vijana wengi wenye pumzi ya kutosha. Tofauti na Yanga
3. Wana uwezo wa kutanzua mitego kwa timu pinzani inayojilinda zaidi. Tofauti na Yanga
4. Mabeki wa Simba ni wepesi wa kusaidia Mashambulizi. Tofauti na Yanga
5. Forward line ya Simba ina speed . Tofauti na Yanga.
6. Simba wanapokwenda kushambulia inaonekana kabisa ni timu yenye mipango. Tofauti na Yanga papatupapatu.
7. Ahoua (1) , Mpanzu(1),Chasambi(1), Ateba(2) na kibu Denis (2). Jumla goli 7.
Ila Yanga ikiamua kujilinda basi goli zitapungua hadi 3.
Unajua kwamba kule uliandika ..."vicute vyako"...!Halikuwa swali.Au ulisahau kuweka alama ya kuuliza?Kwamba mashallah maana yake ni sahihi/shukrani?
Nitawakumbusha viongozi wa Simba kuboresha timu zaidi msimu Ujao
na kuwatoa baadhi ya wachezaji.
Maboresho angalau matano ya maana
i. Beki wa kati 5,
ii.kiungo wa ukabaji 6.
iii.Mshambuliaji 9.
Iv.kiungo mshambuliaji 10.
WAANZE KUWASAHAU WACHEZAJI WAFUATAO.
1. Karabue chamue.
2. Agustine Okejepha.
3. Joshua Mutale.
4.Steven Mukwala.
5. Aishi Manula.
Nway visalimie, mwanangu kavipenda🥰Unajua kwamba kule uliandika ..."vicute vyako"...!Halikuwa swali.Au ulisahau kuweka alama ya kuuliza?
Mimi na kwa niaba ya mama yao ambaye ni Yanga lialia nasema obrigado bin merci!🙏😎Nway visalimie, mwanangu kavipenda🥰
Yanga tunashinda goli 2 kwa mojaKwasasa Simba imeshajipata.
1. Ina safu ya ushambuliaji kali kuliko timu yoyote ligi kuu. Very aggressive
2. Ina vijana wengi wenye pumzi ya kutosha. Tofauti na Yanga
3. Wana uwezo wa kutanzua mitego kwa timu pinzani inayojilinda zaidi. Tofauti na Yanga
4. Mabeki wa Simba ni wepesi wa kusaidia Mashambulizi. Tofauti na Yanga
5. Forward line ya Simba ina speed . Tofauti na Yanga.
6. Simba wanapokwenda kushambulia inaonekana kabisa ni timu yenye mipango. Tofauti na Yanga papatupapatu.
7. Ahoua (1) , Mpanzu(1),Chasambi(1), Ateba(2) na kibu Denis (2). Jumla goli 7.
Ila Yanga ikiamua kujilinda basi goli zitapungua hadi 3.
1-Mje na refa wenu kwenye wallet AUYanga tunashinda goli 2 kwa moja
Mbona mmeonwa Tanga muda tuu.1-Mje na refa wenu kwenye wallet AU
2-Uchawi ufanye kazi positively kwa utopolo(ni jina lenu na linawapendeza mnoo mnooo!).
Kama ni hivyo sawa.Paka atachinjwa.Mbona mmeonwa Tanga muda tuu.
MuiteKwasasa Simba imeshajipata.
1. Ina safu ya ushambuliaji kali kuliko timu yoyote ligi kuu. Very aggressive
2. Ina vijana wengi wenye pumzi ya kutosha. Tofauti na Yanga
3. Wana uwezo wa kutanzua mitego kwa timu pinzani inayojilinda zaidi. Tofauti na Yanga
4. Mabeki wa Simba ni wepesi wa kusaidia Mashambulizi. Tofauti na Yanga
5. Forward line ya Simba ina speed . Tofauti na Yanga.
6. Simba wanapokwenda kushambulia inaonekana kabisa ni timu yenye mipango. Tofauti na Yanga papatupapatu.
7. Ahoua (1) , Mpanzu(1),Chasambi(1), Ateba(2) na kibu Denis (2). Jumla goli 7.
Ila Yanga ikiamua kujilinda basi goli zitapungua hadi 3.
Huu ni uchambuzi au utabiri. Kuna mchambuzi duniani anaweka Idadi ya magoli na wafugaji? Ficha ujinga huko FB.Kwasasa Simba imeshajipata.
1. Ina safu ya ushambuliaji kali kuliko timu yoyote ligi kuu. Very aggressive
2. Ina vijana wengi wenye pumzi ya kutosha. Tofauti na Yanga
3. Wana uwezo wa kutanzua mitego kwa timu pinzani inayojilinda zaidi. Tofauti na Yanga
4. Mabeki wa Simba ni wepesi wa kusaidia Mashambulizi. Tofauti na Yanga
5. Forward line ya Simba ina speed . Tofauti na Yanga.
6. Simba wanapokwenda kushambulia inaonekana kabisa ni timu yenye mipango. Tofauti na Yanga papatupapatu.
7. Ahoua (1) , Mpanzu(1),Chasambi(1), Ateba(2) na kibu Denis (2). Jumla goli 7.
Ila Yanga ikiamua kujilinda basi goli zitapungua hadi 3.
Muhimu tu kusiwepo na kelele mara tu baada ya mechi kutamatika! Na ukumbuke tu mwamuzi wa huo mchezo kwa vyovyote vile atakuwa ni Ahmed Arajiga! Na siyo Tatu Malogo.Kwasasa Simba imeshajipata.
1. Ina safu ya ushambuliaji kali kuliko timu yoyote ligi kuu. Very aggressive
2. Ina vijana wengi wenye pumzi ya kutosha. Tofauti na Yanga
3. Wana uwezo wa kutanzua mitego kwa timu pinzani inayojilinda zaidi. Tofauti na Yanga
4. Mabeki wa Simba ni wepesi wa kusaidia Mashambulizi. Tofauti na Yanga
5. Forward line ya Simba ina speed . Tofauti na Yanga.
6. Simba wanapokwenda kushambulia inaonekana kabisa ni timu yenye mipango. Tofauti na Yanga papatupapatu.
7. Ahoua (1) , Mpanzu(1),Chasambi(1), Ateba(2) na kibu Denis (2). Jumla goli 7.
Ila Yanga ikiamua kujilinda basi goli zitapungua hadi 3.
Comrade una ID ngapi humu jamii forums kiasi cha kufikia hatua ya kujisahau na kuji quote mwenyewe? Au wewe ndiyo Muite?Hauko mbali na ukweli. Hili nililisema toka wakati usajili unafanyika mwanzoni mwa msimu huu. Yanga itafungwa goli nyingi saaaana hadi nimeshaanza kuwaonea huruma.