Tathimini yangu: Machi 8, 2025, Simba itaifunga Yanga goli 3 hadi 5

Tathmini umeitoa Ligi gani mkuu....

Maana mfano magoli Yanga anaongoza kwa magoli NBC,clean sheet Simba na Yanga wanaofanana,Ufungaji sitaki kuongea Sana scoresheet inajieleza ...

Labdah unaongea kishabiki Tu 😀...Ila hizi Timu hazijazidiana Sana msimu huu utofauti ni eneo dogo Tu matumizi ya Nafasi Baina ya hizi Timu mbili ila kwingine wanafanana Sana
 
Bouncer Ateba, Ahoua makonyagi, Mpanzi mikimbio sijui Ngoma wamfunge Djigue Diara, Aziz Ki, Mzize, Pacome, Ikangalombo, Aucho 😀 Nzengeli 😀 Acha kuota ndoto za mchana
 
Tena itakuwa kipindi cha mfungo 😀
Atakaefungwa atasingizia saumu kwa wale wachezaji waislam. Ikichezwa usiku watasingizia kuvimbiwa magimbi.
 
Nitawakumbusha viongozi wa Simba kuboresha timu zaidi msimu Ujao
na kuwatoa baadhi ya wachezaji.
Maboresho angalau matano ya maana

i. Beki wa kati 5,
ii.kiungo wa ukabaji 6.
iii.Mshambuliaji 9.
Iv.kiungo mshambuliaji 10.

WAANZE KUWASAHAU WACHEZAJI WAFUATAO.
1. Karabue chamue.
2. Agustine Okejepha.
3. Joshua Mutale.
4.Steven Mukwala.
5. Aishi Manula.
 

Wakiboresha hapa Yanga ataanza kufungwa sana tena Goli za kutosha.
 
Yanga tunashinda goli 2 kwa moja
 
Muite
 
Huu ni uchambuzi au utabiri. Kuna mchambuzi duniani anaweka Idadi ya magoli na wafugaji? Ficha ujinga huko FB.
 
Muhimu tu kusiwepo na kelele mara tu baada ya mechi kutamatika! Na ukumbuke tu mwamuzi wa huo mchezo kwa vyovyote vile atakuwa ni Ahmed Arajiga! Na siyo Tatu Malogo.

Kwa hiyo hakutakuwa na penati za kupewa, au magoli ya mchongo.
 
Mlikuwa mnafungwa na Yanga ya kina Zawadi Mauya sembuse hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…