Tathimini yangu: Machi 8, 2025, Simba itaifunga Yanga goli 3 hadi 5

Yanga anakula 2. Yule kocha wa yanga hamalizi game 5 atafukuzwa
 
Naomba kujua kama hizi timu mbili zimekutana msimu huu!
 
Hauko mbali na ukweli. Hili nililisema toka wakati usajili unafanyika mwanzoni mwa msimu huu. Yanga itafungwa goli nyingi saaaana hadi nimeshaanza kuwaonea huruma.
Jamaa yangu una I'd ngapi wewe hadi unajisahau unajijibu mwenyewe?

Duh
 
Comrade una ID ngapi humu jamii forums kiasi cha kufikia hatua ya kujisahau na kuji quote mwenyewe? Au wewe ndiyo Muite?

Jamaa yangu una I'd ngapi wewe hadi unajisahau unajijibu mwenyewe?

Duh
Msichoelewa hapo ni nini hadi mnakimbilia kusema nina ID nyingi? Hapo nimekoti post yangu ya zamani kuambatana na maelezo yangu kuonyesha alichosema mleta mada nimeshawahi kukitabiri kuja kutokea.
 
Mleta mada unachowahi nini sasa wakati mechi ni 8,march? Yaani unamaanisha umehaha sana mpaka uamue kujifariji mapema? Acha utoto.
 
Sawa,andaeni timu tu, tofauti na ile ngao ya jamii ya Penati Tanga, sikumbuki Mikia walipata lini matokeo zaidi ya kujaza threads tu humu,kila wakija wanapasuka
 
Ubaya ubwege hamna kitu
 
Mkuu amka, acha kuota ndoto.
 
Mlishndwa kuifunga ile yanga ya mabakuli mje muifunge hii na kpnd kile mlikuwa bora kuliko saivi
 
Mlishndwa kuifunga ile yanga ya mabakuli mje muifunge hii na kpnd kile mlikuwa bora kuliko saivi
Yanga ya mabakuli ilikula 4 kwa 1 labda kama umesahau tukukumbushe? Yanga bora ya mayele ilikula 2 kwa 0 umesahau tukukumbushe?
 
Yanga kwenye mechi za derby hawatabiriki kwasababu kipindi simba ya moto na yanga mbovu ya mwinyi zahera lakini simba walikuwa wanapata tabu kuwafunga yanga.
 
Jmosi usiku tutakombiana humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…