ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mchezo ulikuwa mzuri
Nampongeza coach Saed Ramovic
Alikuja na mbinu nzuri zaidi ya kuzuia kipindi cha Kwanza ndo maana akaanza na viungo wengi wenye tabia ya kukaba yaani Duke Abuya, Aucho, Mudathir na Nzengeli
Kipa Diara amecheza vizuri mno alichezesha timu vyema,
Majeraha aliyoyapata mapema angeomba kutoka, amelazimisha kucheza na maumivu akaruhusu goli
Job & Bacca
Wamecheza vizuri mno kama kawaida Yao nawapongeza
Kibabage
Yanga tumecheza kama tupo pungufu
Kibabage hawezi kukaba wala kushambulia, yaani yupo yupo tu
Nina Imani viongozi wanaliona hili na wataziba pengo lake
Abuya na Aucho
Wamecheza vyema, nawapongeza sana
Kurudi Kwa Aucho Sasa Yanga tuna matumaini kufanya vyema mechi zijazo
Maxi Nzengeli
Leo mechi imemkataa
Alikuwa na siku mbaya sana, hakucheza vizuri,
Mudathir
Alikuwa na papara, amecheza vibaya mno, maamuzi yake kama mtu aliyewekwa kuchezesha timu hayakuwa mazuri
Pacome zouzou
Amecheza wastani
Hana fitness Bado nadhani kutokana na maisha yake ya anasa
Kennedy Musonda
Amecheza wastani tu
Musonda Huwa hasimami, mipira ikaja yupo kwenye kibendera, nadhani hajui kama yeye ndo striker
Chama & Aziz ki
Wamecheza vizuri Kwa muda walioingia
Mzize &Dube
Wamecheza vizuri sana. Walifanya kila lililo zuri
Nawapa heko wamepambana
Hii sare ina maana kubwa Nina uhakika tunafuzu na tutaleta kombe la CAFCL nyumbani
Eng Hersi kama utaweza kupata beki wa kushoto wa TP Mazembe Ernest Lozalo Sita
Huyu beki nimefatilia huu msimu wa pili namfatilia
Ni beki hatari sana
Na Leo hakuwa vizuri ila ukimpata huyu mwamba itasaidia
Mwisho
Nawatakia kila heri watani kesho kwenye Yale mashindano Yao vicoba
Ubaya ubwege
Yanga bingwa