Tathmini fupi mechi ya Tp Mazembe vs Yanga

Tathmini fupi mechi ya Tp Mazembe vs Yanga

Hakuna mchezaji wa Yanga aliyecheza kama Pacome kwa leo, alikuwa kila mahali. Washambuliaji wameshindwa kumalizia mipira sliyokuwa anawapa.
Pacome hana fitness 100%
Huyo sio Pacome tunayemjua,
 
bas hata CAF wasingekua na utaratibu wa ku update msimamo kila baada ya game za makundi kama wangekua na akili kama zako
Usilazimishe nikudharau
Msimamo utakuwa na maana zikichezwa mechi zote 6
Ndo hapo timu zitajua zimevuna Nini
Ila kwasasa wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na WA mwisho kuwa wa kwanza
Subiri mechi zichezwe
 
Back
Top Bottom