ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Dec 14, 2024 Thread starter #21 permanides said: Hakuna mchezaji wa Yanga aliyecheza kama Pacome kwa leo, alikuwa kila mahali. Washambuliaji wameshindwa kumalizia mipira sliyokuwa anawapa. Click to expand... Pacome hana fitness 100% Huyo sio Pacome tunayemjua,
permanides said: Hakuna mchezaji wa Yanga aliyecheza kama Pacome kwa leo, alikuwa kila mahali. Washambuliaji wameshindwa kumalizia mipira sliyokuwa anawapa. Click to expand... Pacome hana fitness 100% Huyo sio Pacome tunayemjua,
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 9,091 Reaction score 21,087 Dec 14, 2024 Thread starter #22 Young fadson said: bas hata CAF wasingekua na utaratibu wa ku update msimamo kila baada ya game za makundi kama wangekua na akili kama zako Click to expand... Usilazimishe nikudharau Msimamo utakuwa na maana zikichezwa mechi zote 6 Ndo hapo timu zitajua zimevuna Nini Ila kwasasa wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na WA mwisho kuwa wa kwanza Subiri mechi zichezwe
Young fadson said: bas hata CAF wasingekua na utaratibu wa ku update msimamo kila baada ya game za makundi kama wangekua na akili kama zako Click to expand... Usilazimishe nikudharau Msimamo utakuwa na maana zikichezwa mechi zote 6 Ndo hapo timu zitajua zimevuna Nini Ila kwasasa wa kwanza anaweza kuwa wa mwisho na WA mwisho kuwa wa kwanza Subiri mechi zichezwe