Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Bandari FC, siku ya wananchi

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Kwanza naona coach Folz ana kazi ngumu mno kwenye kupanga kikosi.

Young wameboresha timu Yao inatosha

1. Goal keeping
Diarra ni yule yule ametoa mchezo mzuri mno, na mwenzake Msheri

2 Defending
Walinzi wamecheza vizuri mno, Amenipa surprise Asink ni beki Bora sana. Naona akichukua namba ya Job

Mwenda ni yule yule naona anakuwa na mchango mkubwa wakati wa kushambuliwa lakini kujilinda ana weakness kubwa yaani hakabi vizuri

Baka na Job wametupa game nzuri

Soma Pia: Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

Kibwana Shomari habadili nadhani ulikuwa muda sahihi wa kumpa mkono wa kwaheri

Farid Musa amezali upya

3 Midfielders
DM Balla Conte ni mzuri mno, naona Leo amekuwa na tamaa ya kupanda, hii ni mbaya mno, coach amemwambia abaki kwenye nafasi yake,
Balla Conte sio box to box midfield

Duke na Mudathiri kama wana uchovu sana

Max Yuko Bora zaidi msimu huu

Lassine Kouma huyu ni hatari zaidi

Chikola, Nkane na Edmund naona Bado hawajajiamini Leo wametupa game mbovu

Mo Doumbia ni hatari mno, ila naona kama Yuko slow mno na fitness yake haijaniridhisha, japo ana akili ya mpira.
Nitahitaji michezo kadhaa kugundua

4 washambuaji
Ecua fundi mno atachezewa faulo nyingi na Yanga tutafunga penalties nyingi

Prince Dube, huyu ameshindwa kubadilika huyu ni mchezaji wa kawaida mno

Andy Boyeli ni hatari nilimfatilia alipokuwa Zambia ila Leo hajacheza vizu
 
Eeeh! jishikilie kidogo hapo kwenye keyboard hivi Dickson Job ni wakuwekwa nje na Assinki!!!? acha kumchukulia poa Job licha ya umbile lake kuwa dogo ila anayoyafanya atadumu sana kwenye ile nafasi over 10+ years
 
Game ilikuwa nzuri sana, ushindani wa namba ni mkubwa pale Yanga.

Kouma na Doumbia hawa jamaa after few games wanaweza wakawa ni wa moto zaidi. Uwezo wa Acua kila mtu kauona.

Tutarajie derby nzuri iliyojawa mpira mzuri kutoka kwa Yanga. Ikatokea Pacome akaanza, Maxi akawa kwenye ubora huu, Simba inaweza ikawa kwenye wakati mgumu sana.
 
Mechi kama hizi wala sio za kuzipa sana kipaumbele kwenye kutoa tathmini ya ubora wa kikosi kwa ujumla.

Hususani pale ambapo siku chache zijazo kuna mechi kubwa na ya muhimu. Huwezi kuona wachezaji wakijitoa kwa asilimia zote kwenye mechi aina hizi kwasababu ya kutunza energy kuelekea big match.

Tunachoweza kuwahukumu siku ya leo ni mpangilio wa ratiba kuwa vague kwenye tamasha, ubovu wa show za wasanii wenu walio perfom na kitendo cha mashabiki kusapoti itikadi za kisiasa.
 
Kwanza naona coach Folz ana kazi ngumu mno kwenye kupanga kikosi.

Young wameboresha timu Yao inatosha

1. Goal keeping
Diarra ni yule yule ametoa mchezo mzuri mno, na mwenzake Msheri

2 Defending
Walinzi wamecheza vizuri mno, Amenipa surprise Asink ni beki Bora sana. Naona akichukua namba ya Job

Mwenda ni yule yule naona anakuwa na mchango mkubwa wakati wa kushambuliwa lakini kujilinda ana weakness kubwa yaani hakabi vizuri

Baka na Job wametupa game nzuri

Soma Pia: Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

Kibwana Shomari habadili nadhani ulikuwa muda sahihi wa kumpa mkono wa kwaheri

Farid Musa amezali upya

3 Midfielders
DM Balla Conte ni mzuri mno, naona Leo amekuwa na tamaa ya kupanda, hii ni mbaya mno, coach amemwambia abaki kwenye nafasi yake,
Balla Conte sio box to box midfield

Duke na Mudathiri kama wana uchovu sana

Max Yuko Bora zaidi msimu huu

Lassine Kouma huyu ni hatari zaidi

Chikola, Nkane na Edmund naona Bado hawajajiamini Leo wametupa game mbovu

Mo Doumbia ni hatari mno, ila naona kama Yuko slow mno na fitness yake haijaniridhisha, japo ana akili ya mpira.
Nitahitaji michezo kadhaa kugundua

4 washambuaji
Ecua fundi mno atachezewa faulo nyingi na Yanga tutafunga penalties nyingi

Prince Dube, huyu ameshindwa kubadilika huyu ni mchezaji wa kawaida mno

Andy Boyeli ni hatari nilimfatilia alipokuwa Zambia ila Leo hajacheza vizu
Hujamtaja Aziz Andambwile kipenzi cha kocha Ramain pale nyuma! Mechi na Rayon Sport alianza! Jana pia alianza! Na usije ukashangaa na kwenye Ngao ya jamii pia akianza!
Ana mpira fulani wa akili na pia utulivu ndani yake. Jana alicheza vizuri sana pale nyuma.
 
Game ilikuwa nzuri sana, ushindani wa namba ni mkubwa pale Yanga.

Kouma na Doumbia hawa jamaa after few games wanaweza wakawa ni wa moto zaidi. Uwezo wa Acua kila mtu kauona.

Tutarajie derby nzuri iliyojawa mpira mzuri kutoka kwa Yanga. Ikatokea Pacome akaanza, Maxi akawa kwenye ubora huu, Simba inaweza ikawa kwenye wakati mgumu sana.
Ikitokea kocha akawaanzisha Pacome, Kouma, Boyeli, Max na Ecua pale mbele; aisee mabeki wa timu pinzani watakimbiana.
 
Mechi kama hizi wala sio za kuzipa sana kipaumbele kwenye kutoa tathmini ya ubora wa kikosi kwa ujumla.

Hususani pale ambapo siku chache zijazo kuna mechi kubwa na ya muhimu. Huwezi kuona wachezaji wakijitoa kwa asilimia zote kwenye mechi aina hizi kwasababu ya kutunza energy kuelekea big match.

Tunachoweza kuwahukumu siku ya leo ni mpangilio wa ratiba kuwa vague kwenye tamasha, ubovu wa show za wasanii wenu walio perfom na kitendo cha mashabiki kusapoti itikadi za kisiasa.
Kweli kabisa mkuu
Zuchu kafanya show mbovu mno,
Uwanja haukujaa.
Ecua hamna kitu yani Kwa kifupi YANGA ni mbovu mno
Kweli Kabisa mashabiki wa Yanga walienda ku support siasa, wote tumeona wakiwa wamebeba picha za Samia na Lissu
Simba anaenda kufunga Yanga goli 5 Kwa Yanga mbovu hivi
BASI NADHANI HAPO UMEFURAHI MNO MBUMBUMBU
 
Hii timu ni pana mno
Yanga ya msimu huu inaweza kucheza michezo miwili kwa muda mmoja, na kwa maeneo mawili tofauti; na bado ikapata ushindi.

Kwa kweli safari hii wamejitahidi sana kuboresha kikosi. Na ukimuangalia kila mchezaji ana ari ya kutaka kucheza na kuonesha kile alichokuwa nacho.
 
Mechi kama hizi wala sio za kuzipa sana kipaumbele kwenye kutoa tathmini ya ubora wa kikosi kwa ujumla.

Hususani pale ambapo siku chache zijazo kuna mechi kubwa na ya muhimu. Huwezi kuona wachezaji wakijitoa kwa asilimia zote kwenye mechi aina hizi kwasababu ya kutunza energy kuelekea big match.

Tunachoweza kuwahukumu siku ya leo ni mpangilio wa ratiba kuwa vague kwenye tamasha, ubovu wa show za wasanii wenu walio perfom na kitendo cha mashabiki kusapoti itikadi za kisiasa.
Fungua Uzi wa malalamiko
 
Kweli kabisa mkuu
Zuchu kafanya show mbovu mno,
Uwanja haukujaa.
Ecua hamna kitu yani Kwa kifupi YANGA ni mbovu mno
Kweli Kabisa mashabiki wa Yanga walienda ku support siasa, wote tumeona wakiwa wamebeba picha za Samia na Lissu
Simba anaenda kufunga Yanga goli 5 Kwa Yanga mbovu hivi
BASI NADHANI HAPO UMEFURAHI MNO MBUMBUMBU
Hako kajamaa kila kitu hua kanalalamika
 
Back
Top Bottom