ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
Mechi kama hizi wala sio za kuzipa sana kipaumbele kwenye kutoa tathmini ya ubora wa kikosi kwa ujumla.
Hususani pale ambapo siku chache zijazo kuna mechi kubwa na ya muhimu. Huwezi kuona wachezaji wakijitoa kwa asilimia zote kwenye mechi aina hizi kwasababu ya kutunza energy kuelekea big match.
Tunachoweza kuwahukumu siku ya leo ni mpangilio wa ratiba kuwa vague kwenye tamasha, ubovu wa show za wasanii wenu walio perfom na kitendo cha mashabiki kusapoti itikadi za kisiasa.
Bila Shaka hawa awa ni mashabiki wa Mtibwa sugar