Hujamtaja Aziz Andambwile kipenzi cha kocha Ramain pale nyuma! Mechi na Rayon Sport alianza! Jana pia alianza! Na usije ukashangaa na kwenye Ngao ya jamii pia akianza!Kwanza naona coach Folz ana kazi ngumu mno kwenye kupanga kikosi.
Young wameboresha timu Yao inatosha
1. Goal keeping
Diarra ni yule yule ametoa mchezo mzuri mno, na mwenzake Msheri
2 Defending
Walinzi wamecheza vizuri mno, Amenipa surprise Asink ni beki Bora sana. Naona akichukua namba ya Job
Mwenda ni yule yule naona anakuwa na mchango mkubwa wakati wa kushambuliwa lakini kujilinda ana weakness kubwa yaani hakabi vizuri
Baka na Job wametupa game nzuri
Soma Pia: Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium
Kibwana Shomari habadili nadhani ulikuwa muda sahihi wa kumpa mkono wa kwaheri
Farid Musa amezali upya
3 Midfielders
DM Balla Conte ni mzuri mno, naona Leo amekuwa na tamaa ya kupanda, hii ni mbaya mno, coach amemwambia abaki kwenye nafasi yake,
Balla Conte sio box to box midfield
Duke na Mudathiri kama wana uchovu sana
Max Yuko Bora zaidi msimu huu
Lassine Kouma huyu ni hatari zaidi
Chikola, Nkane na Edmund naona Bado hawajajiamini Leo wametupa game mbovu
Mo Doumbia ni hatari mno, ila naona kama Yuko slow mno na fitness yake haijaniridhisha, japo ana akili ya mpira.
Nitahitaji michezo kadhaa kugundua
4 washambuaji
Ecua fundi mno atachezewa faulo nyingi na Yanga tutafunga penalties nyingi
Prince Dube, huyu ameshindwa kubadilika huyu ni mchezaji wa kawaida mno
Andy Boyeli ni hatari nilimfatilia alipokuwa Zambia ila Leo hajacheza vizu
Ikitokea kocha akawaanzisha Pacome, Kouma, Boyeli, Max na Ecua pale mbele; aisee mabeki wa timu pinzani watakimbiana.Game ilikuwa nzuri sana, ushindani wa namba ni mkubwa pale Yanga.
Kouma na Doumbia hawa jamaa after few games wanaweza wakawa ni wa moto zaidi. Uwezo wa Acua kila mtu kauona.
Tutarajie derby nzuri iliyojawa mpira mzuri kutoka kwa Yanga. Ikatokea Pacome akaanza, Maxi akawa kwenye ubora huu, Simba inaweza ikawa kwenye wakati mgumu sana.
Mhhh!Kwenye kila mechi wengi sana mnasahau Abubakar Salum SureBoy ila huyu jamaa kila mechi anayocheza ata ya leo kwangu ndio man of the match. Hakuna namba 8 Tanzania kama Sureboy
Kweli kabisa mkuuMechi kama hizi wala sio za kuzipa sana kipaumbele kwenye kutoa tathmini ya ubora wa kikosi kwa ujumla.
Hususani pale ambapo siku chache zijazo kuna mechi kubwa na ya muhimu. Huwezi kuona wachezaji wakijitoa kwa asilimia zote kwenye mechi aina hizi kwasababu ya kutunza energy kuelekea big match.
Tunachoweza kuwahukumu siku ya leo ni mpangilio wa ratiba kuwa vague kwenye tamasha, ubovu wa show za wasanii wenu walio perfom na kitendo cha mashabiki kusapoti itikadi za kisiasa.
Yanga ya msimu huu inaweza kucheza michezo miwili kwa muda mmoja, na kwa maeneo mawili tofauti; na bado ikapata ushindi.Hii timu ni pana mno
Fungua Uzi wa malalamikoMechi kama hizi wala sio za kuzipa sana kipaumbele kwenye kutoa tathmini ya ubora wa kikosi kwa ujumla.
Hususani pale ambapo siku chache zijazo kuna mechi kubwa na ya muhimu. Huwezi kuona wachezaji wakijitoa kwa asilimia zote kwenye mechi aina hizi kwasababu ya kutunza energy kuelekea big match.
Tunachoweza kuwahukumu siku ya leo ni mpangilio wa ratiba kuwa vague kwenye tamasha, ubovu wa show za wasanii wenu walio perfom na kitendo cha mashabiki kusapoti itikadi za kisiasa.
Hako kajamaa kila kitu hua kanalalamikaKweli kabisa mkuu
Zuchu kafanya show mbovu mno,
Uwanja haukujaa.
Ecua hamna kitu yani Kwa kifupi YANGA ni mbovu mno
Kweli Kabisa mashabiki wa Yanga walienda ku support siasa, wote tumeona wakiwa wamebeba picha za Samia na Lissu
Simba anaenda kufunga Yanga goli 5 Kwa Yanga mbovu hivi
BASI NADHANI HAPO UMEFURAHI MNO MBUMBUMBU