Tathmini fupi mechi ya Young Africans vs Bandari FC, siku ya wananchi


Bila Shaka hawa awa ni mashabiki wa Mtibwa sugar
 
View attachment 3471029
Bila Shaka hawa awa ni mashabiki wa Mtibwa sugar
Nastaajabu sana hata wakongwe wa jf na watu wanaonekana ni makini hapa jf na ni mashabiki wa Simba kuona kwamba timu yao haijinasibishi na ccm.

Yaani ukiona we ni mnazi wa hizi timu jua tayar ccm imekuwin. Inatumia hizi timu kupitisha agenda zao.

Chagua moja, furahia mpira au jikite kwenye siasa usipumbazwe, ila kamwe huwezi tenganisha ama kuiona timu yako sio mnufaika wa pumbazo.
 
Jamaa kaeleza kitu kiufundi sana , ila kajibiwa ki ushabiki , mechi kama hizi ni kweli hauwezi pata picha nzima ya timu, yawezekana yanga wanaubora mkubwa zaidi ya huo.
 
Jamaa kaeleza kitu kiufundi sana , ila kajibiwa ki ushabiki , mechi kama hizi ni kweli hauwezi pata picha nzima ya timu, yawezekana yanga wanaubora mkubwa zaidi ya huo.
Huyu jamaa ni pessimistic Kwa Yanga, yaani yeye kila inachofanya Yanga ni cha ovyo.
Na huyo bwana Yuko ivo wala huwezi kumbadilisha
 
Teh teh teh duuh Angalieni msije kuwa watu wa hesabu za calculator km Msimu Jana Michuano ya caf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…