Tathmini hotuba ya Rais Samia miaka 60 ya Jeshi la Polisi: Uzuri, ubaya, utata na mapendekezo mahsusi

Tiss wamemuacha aendelee kulishwa matango pori na kina Makonda. Maana inaonekana wao ndo anawaona wa maana
 
"Mauwaji ni kawaida '
Anashangaa kwanini mnalia lia wakati kuteswa na kuuwawa ni jambo la kawaida? Kwanini kuuwawa kwa huyu 'mmoja' ndio mlipukwe na kelele?
Wengine walipouwawa mlikuwa wapi?
Sababu ni 'kawaida' mnapaswa mvumilie kwa kukaa kimya au ikiwezekana mfurahie.
Hata huko Marekani watu wanauwawa. Na hivi karibuni mgombea wa urais Marekani yamefanyika majaribio mara mbili ya kumuuwa.
Rais kaeleweka, kazi kwenu 'samaki' mnaosubiriiwa mnenepe mliwe.
 
Narudia tena ! Narudia tena ! CDM vunjeni uongozi wenu wa juu kila kukicha mmekuwa mnawaza maandamano mkidhani ndo njia sahihi ya kutafuta kile mnachokiitaji kumbe ndo mnaenda kukizika chama hatukatai wananchi tunapenda upinzani lakini upinzani huo umekuwa ukileta wasi wasi na mashaka vifuani mwetu !! Why CDM not Other Political Parties mnahisi mnaonewa Mahakama zipo kusanyeni ushahidi pelekeni Mahakamani lakini sio kutuhumu yule mchawi halafu ushahidi hamna na kutafuta umaarufu namna hyo. kuna watu familia zao zipo nje ya TZ sisi ambao familia zetu zipo huko Tz tunataka Amani itawale...ukiona umezidiwa maarifa unapaswa utumie akili na sio makalio...Dead Pray Movie is a lesson to you.Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki viongozi wake wote Aamin.
 
Mkuu Mama Amoni, asante sana kwa bandiko hili, wewe ni baraka na hazina kubwa humu jf, watu wenye kuweza kufanya analysis ya kuchambua hotuba wanahesabika.
Ubarikiwe sana.
P
 

Hakika ni uchambuzi bora kabisa
 
CCM ndiyo wapuuzi kwa kutumia Polisi kutekana kuua wapinzani
 
Wapinzani na Watanzania kwa ujumla tuanze kujilinda binafsi.

Hizi Land cruiser za wasiojurikana dawa yake ni kiberiti tu.

Kwa hotuba ya mama amebariki kinachoendelea, na amekubali kudanganywa kulinda Urais wake, mtu yeyote makini hata ukiandikiwa kitu ni lazima usome na uedit wewe mwenyewe.

Nakumbuka Magufuli majina ya uteuzi ilifika anaandika kwa mkono kwenye note book hataki kuingizwa mkenge kuchomekewa majina.

Kama mna kumbukumbu nzuri huyu mama ameshateuwa jina na kulitenguwa siku hiyohiyo hapo ndio mjuwe ni ushahidi kuna genge la watu wanaomzunguka wako bize to fabricate story.
 
Wahalifu wanapokaribia kufa hujisahau na kutamba sana kwa jamii.
 
Tathmini ya hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi inahitaji kuangazia vipengele kadhaa: uzuri, ubaya, utata, na mapendekezo mahsusi. Hapa kuna tathmini hiyo:

Uzuri
1. Kusisitiza Amani na Usalama:
Rais Samia alisisitiza umuhimu wa amani na usalama nchini, akitambua mchango wa Jeshi la Polisi katika kudumisha utulivu.

2. Mafanikio ya Polisi:
Aliweza kutaja mafanikio mbalimbali ya Jeshi la Polisi, ikiwemo kupunguza uhalifu na kuimarisha ushirikiano na jamii.

3. Mabadiliko ya Kitaalamu:
Hotuba yake ililenga mabadiliko ya kitaaluma na teknolojia katika Jeshi la Polisi, ikionyesha dhamira ya kuboresha huduma za kipolisi.

Ubaya
1. Kukosekana kwa Mipango Maalum:
Katika hotuba, hakukuwa na mipango maalum ya kushughulikia changamoto zinazowakabili polisi, kama vile ukosefu wa vifaa na rasilimali.

2. Kukosa Uwazi:
Wakati alitaja mafanikio, haikuwekwa wazi jinsi polisi wanavyoweza kuboresha zaidi na kukabiliana na changamoto zilizopo.

Utata

1. Rai kuhusu Haki za Binadamu:
Kutokana na historia ya matukio yanayohusisha ukiukwaji wa haki za binadamu na Jeshi la Polisi, baadhi ya maoni yalionyesha utata katika namna hotuba ilivyoshughulikia masuala haya.

2. Ushirikiano na Jamii:
Ingawa alisisitiza umuhimu wa ushirikiano, baadhi ya waandishi wa habari waliona kuwa mawasiliano baina ya polisi na jamii bado ni duni.

Mapendekezo Mahsusi
1. Kuweka Mipango ya Maendeleo: Kuweka mikakati ya wazi ya maendeleo ya Jeshi la Polisi, ikiwa ni pamoja na bajeti na rasilimali.

2. Kujenga Uhusiano Bora na Jamii;
Kuimarisha mawasiliano na ushirikiano na jamii kupitia kampeni za elimu na ushirikiano wa kijamii.

3. Kuweka Mifumo ya Usimamizi wa Haki za Binadamu:
Kuanzisha mifumo ya ufuatiliaji wa haki za binadamu ndani ya Jeshi la Polisi ili kuboresha uwajibikaji.

Kwa ujumla, hotuba ya Rais Samia ilikuwa na ujumbe mzito wa kuimarisha Jeshi la Polisi, lakini inahitaji hatua za ziada ili kuhakikisha kwamba changamoto zinazoikabili zinaweza kushughulikiwa kwa ufanisi.
 
Wewe Mama Amon ni mnafiki uliyekubuhu. Kwanini hukukemea CHADEMA na kauli yao ya kihaini ya Samia must go?

Rejea hapa:

 
Naungana na uchambuzi wako .... Asante Sana.

Taifa linahitaji uponyaji.
 
Ana hofu na hajiamini, jambo linalomfanya avitegemee vyombo vya ulinzi na usalama hususani jeshi la polisi na idara ya usalama wa taifa kumbeba.

Na wao kwa kulitambua hilo, wanaweza ku abuse mamlaka yao kwa jinsi watakavyo, atawafanya nini wakati mwenyewe anategemea mbeleko yao.

A dangerous situation is developing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…