Tahtmini ya Utani wa hapa mtandaoni kati ya Wafuasi wa Zelensky (Pro Ukraine vs Pro Putin)
Prow Ukraine ni watu poa sana, wengi ni wapenda amani wasiopenda uonevu wa kijinga
Pro Ukraine hawashabikii mtu bali wanasimamia facts,
wanasimamia haki, hawapendi uonevu. Wengi jata Zelensky hawamjui ni nani. Ni watu fulani peace sana, ukiwa challenge hawakuchukii watakupa mkono wa kirafiki.
Upande mwingine kuna Pro Putin, hata hawaijui Russia, wanayemjua ni Putin tu, ni watu wenye visirani, huwa wanaongozwa na chuki na ushabiki. Wao wakigundua hauiungi mkono Russia wanaamua kukukatia story, wanachagua kukuchukia na kuona umetumwa na US.
Kuwakuta wenye uelewa na wanaokubali challenge na facts kama @Kalamu1 ni wachache sana, utatafuta hadi uchoke
Cha msingi watu tunatofautiana katika hili Lakin unakuta lingine tunakubaliana
Johhana leta maneno, wapi Nafaka na Nyamizi
Namshukuru Mwanangu Thadeusi Musembi mchambuzi fulani ambaye hatakaa ajue Kama namfuatilia sana
Cc britanicca
Sky Eclat