Naombeni majibu kwa haya maswali msiruke nawakubali kwa fact wapenda amani.
Ni sababu zipi za msingi zinazokufanya uwapinge?
Na kama mnadai kavamia nchi huru kwanini aivamie Ukraine na si nchi nyingine?
Na kama mnadai anaua hovyo raia na kupiga majengo na sio kambi za jeshi au wanajeshi wapo wapi? Human shield ikitokea ni action ipi inapaswa kufuatwa?
Je kama wapinga vita wanataka amani hizo silaha mnapeleka za nini ?
Hayo matwakwa ya mrusi wakiyafata wanapungukiwa nini?
Mrusi angeweka silaha zake Cuba reaction ya US ingekuwaje?
Vipi urusi akubali nato aweke silaha Ukraine ila na yeye akaweke Cuba marekani angekubali?
Mwisho, mnaodai urusi kashindwa vita kuimaliza kwanini akishambulia mnalalamika na akitulia mnabeza, shida nini?
Nyamizi
dudus
Jackal
Tsh
Root
lwaitama1
MK254
4by94