Tathmini: Utani wa mtandaoni kati ya Pro Zelensky vs Pro Putin

Kuna thread nilichangia mada kuna mrusi akani quote "naona shoga unawatetea mashoga wenzako" sikupenda kabisa ikabidi nimblock tu. Sijajua kwa nini mtu ukitoa mawazo yako huru mtu ana ku attack na jambo ambalo anajua litakukwaza!
Ni wa kupuuzia tu!
 
Unazingua wewe yani, Ukraine sio threat kwake wakati alitaka amkaribishe adui wake Marekani aweke mitambo yake
Hiyo sababu haina mashiko hata kidogo.Putin analala usiku,anaota ndoto mbaya akiamka asubuhi anaamrisha jeshi likavamie,kumbe ni hofu ya ndoto tu.Ndiyo maana baadhi ya majenerari hawakukubaliana na yeye swala la kuvamia.
 
Tatizo la Putin ana ukunguru mwingi!
 
Weka hoja ujibiwe kwa hoja,ukileta vijembe utajibiwa kwa vijembe.Wewe ni mmoja wao aliowasema hapa mtoa mada,mnapanic haraka sana.
Me siwezi panic na sipendi vita kabisa ila kwenye vita hivi russia yupo sahihi, ukraine anameletea majambazi na wauaji kwenye mipàka yake lazima ajitetee
Hapa ukraine hafaidi chochote zaidi yakutesa raia wake
 
Hiyo sababu haina mashiko hata kidogo.Putin analala usiku,anaota ndoto mbaya akiamka asubuhi anaamrisha jeshi likavamie,kumbe ni hofu ya ndoto tu.Ndiyo maana baadhi ya majenerari hawakukubaliana na yeye swala la kuvamia.
Kweli huu ni uzi wa utani! Asubuhi njema.
 
kupinga uvamizi ndio fact pekee naomba japo fact nne zenye mashiko
A)Ukraini ni nchi huru ina haki ya kujilinda na kuwa allies yeyeote Kwa maslai ya uma wake.
B)Silah zinapelekwa Ili kulinda na nchi kama Nchi lazim ijilinde mwaka 2014 ilikubali crimea imegwe haikutosha Russia wakaona Ukrain shamba la bibi now anatak kuimega tena asipo zuiwa atarudia tena.
C)Ukrain haija ivamia Russia Sasa Kwa Nini wafate masharti ya Russia?warussi nchini Ukrain ni Asilimia 17'/. Tu kama hai itaji vita Kwanini is Waite nyumban hao?au nataka reserve ya mafuta na Gesi yanayopatiana kwenye hayo majimbo
 
A)Ukraini ni nchi huru ina haki ya kujilinda na kuwa allies yeyeote Kwa maslai ya uma wake.
B)Silah zinapelekwa Ili kulinda na nchi kama Nchi lazim ijilinde mwaka 2014 ilikubali crimea imegwe haikutosha Russia wakaona Ukrain shamba la bibi now anatak kuimega tena asipo zuiwa atarudia tena.
C)Ukrain haija ivamia Russia Sasa Kwa Nini wafate masharti ya Russia?warussi nchini Ukrain ni Asilimia 17'/. Tu kama hai itaji vita Kwanini is Waite nyumban hao?au nataka reserve ya mafuta na Gesi yanayopatiana kwenye hayo majimbo ?
 
Hizi pumba umeandika hapa wenye akili tunajua wewe ni pro US...na ni ujinga kudhani sisi tunaoiunga Russia hatujui Russia, kana kwamba nchi ya Russia imeanza leo 🚮
 
Pole Mkuu. Ha ha haaaa!
Si nikataka kushangaa tangu lini na wewe ukawa mtu wa kucatch mafeelings kirahisi vile,uwe na jioni njema kama upo hapa kwa Chief Hangaya au asubuhi njema kama upo kwa Mzee Biden hasa mitaa ya New York where dreams are made of [emoji3][emoji3]
 
[emoji91][emoji91][emoji91]Macron said that the process of Ukraine's admission to the EU could take several years, even decades urraaaaaaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimehamaa Buguruni kwa mnyamani Sasa ivi nipo Siberia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha..
Umesahau mwenzao mmoja anajiita Bwana Utam
 
Prorussia wote ushoga ndio ngao ya kuu ya kujifichia kwa sababu hawana hoja yoyote ya msingi kumshabikia Putin na uvamizi wake.
Naunga mkono hoja, Kuna mrusi mmoja humu Hana hoja zaidi ya kuita wenzake mashoga, warusi wengi humu ukiwazidi kidogo mtazamo utayaoga matusi.

Ni Mimi msoma comments za wachangiaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…