mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Kwa sasa baadhi ya vituo vya mafuta havitoi stakabadhi, unaambiwa karatasi au wino umekwisha. nenda PUMA kawe, petroafrica Bunju, oilcom na nk utaona mwenyewe.Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti. Mwitikio ukoje?
Mafuta umepata kinachokufanya ulalamike ni niniKwa sasa baadhi ya vituo vya mafuta havitoi stakabadhi, unaambiwa karatasi au wino umekwisha. nenda PUMA kawe, petroafrica Bunju, oilcom na nk utaona mwenyewe.
Uzalendo ndio unanifanya nilalamike. Kumbuka unaponunua mafuta unakuwa umelipa pia kodi ya serikali. Usipopewa risiti maana yake kodi uliyolipa inaibwa mbele ya macho yako!Mafuta umepata kinachokufanya ulalamike ni nini
Mlizoezwa uzandiki.Peleka huko uzandiki wako.Hii siyo awamu ya kujipendekeza.Mfuateni huko mkasifie.Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti. Mwitikio ukoje?
Kazi inaendelea tutungojee tuoneKwa sasa baadhi ya vituo vya mafuta havitoi stakabadhi, unaambiwa karatasi au wino umekwisha. nenda PUMA kawe, petroafrica Bunju, oilcom na nk utaona mwenyewe.
Sasa wewe si ukalipe kwenye hizo biashara zako, hii nchi imekuwepo kitambo tu, makodi ya hivyo ya mwendazake yaliua uchumi, na hela alikwapua akapeleka anapopajua,bado kelele za kijinga zinaendeleaKodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti. Mwitikio ukoje?
Mbongo una mwambia eti slow down hahaaa.Wabongo ukiwabembeleza umeumia
... emancipate yourself from mental slavery, non but ourselves can free our minds!Mafuta umepata kinachokufanya ulalamike ni nini
Subiri hadi januryKodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti. Mwitikio ukoje?
Aneomba muda wa kuweka sawa mambo ikiwemo takwimu za kupikwaKodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti. Mwitikio ukoje?
Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti.
Mwitikio ukoje?
Hadi Januari itakuwa too late!! Lazima tujue mwelekeo Wa makusanyo ya kodi mapema ili kama kuna kasoro mahali irekebishwe mapema! Hatutegemei makusanyo kushuka kuliko mwaka Jana! Utaratibu Wa kutangaza màkusanyo kila mwezi kwa wakati uendelee, vinginevyo TRA watalala na wataishia kupokea rushwa tu. Hatutakubali tarakimu ya billions, ni trillions tu ili kazi iendelee.Subiri hadi janury
Je, mara ya mwisho TRA kutoa taarifa makusanyo ya mwezi ya Kodi ilikuwa mwezi wa ngapi?Je makusanyo ya kodi ya April yalitangazwa? Taswira tungeipata kuanzia hapo.
😂😂😂
una chekesha kwa mianya hii ya upigaji inayo endelea unategemea kuwe na makusanyo mazuri.
Je makusanyo ya kodi ya April yalitangazwa? Taswira tungeipata kuanzia hapo.