Tathmini ya kazi iendelee: Tuanze na makusanyo ya kodi

Tathmini ya kazi iendelee: Tuanze na makusanyo ya kodi

Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti.

Mwitikio ukoje?
Mlikuwa mnakusanya kodi ama mnawapora watu pesa zao - Mama endelea kusanya kodi usipore wananchi wako.
 
Hadi Januari itakuwa too late!! Lazima tujue mwelekeo Wa makusanyo ya kodi mapema ili kama kuna kasoro mahali irekebishwe mapema! Hatutegemei makusanyo kushuka kuliko mwaka Jana! Utaratibu Wa kutangaza màkusanyo kila mwezi kwa wakati uendelee, vinginevyo TRA watalala na wataishia kupokea rushwa tu. Hatutakubali tarakimu ya billions, ni trillions tu ili kazi iendelee.
Hapoo sasa. But watakwambia tumepata uhuru wa kupost matapishi yoyote mtandaoni so hyo syo muhim kwetu nyumbu
 
Sasa wewe si ukalipe kwenye hizo biashara zako, hii nchi imekuwepo kitambo tu, makodi ya hivyo ya mwendazake yaliua uchumi, na hela alikwapua akapeleka anapopajua,bado kelele za kijinga zinaendelea
Nimeishia hapo et Nchi ilikuwepo kitambo nikajua yanayofuata ni🎃🎃🤯
 
Mlikuwa mnakusanya kodi ama mnawapora watu pesa zao - Mama endelea kusanya kodi usipore wananchi wako.
Tunazungumzia kodi!! Hivi mfanyabiashara kuambiwa atoe risiti za EFD hapo àmeporwa? Hakuna aliyeporwa, ila tabia ya kukwepa kodi haikuvumiliwa kabisa! Kulikuwa na zero tollerance kwa mkwepa kodi! Bila hivyo wabongo lazima wakupkige!! Inavyoelekea wafanya biashara wengine wameshakaa mkao wa kukwepa kodi!!
Nashauri kwa suala la kodi Mama awe mkali kuliko Magufuli ili maadam mtu asisingiziwe kukwepa kodi wala asibambikiziwe kodi! Kama akikamatwa amekwepa kodi akomeshwe Kabisa!! Bila hivyo watu watakwepa kodi tu!! Inabidi mtu akikamatika kukwepa kodi apate hasara, vinginevyo watakwepa kodi tu!
 
Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti.

Mwitikio ukoje?
WEWE UMELIPA KWA UPANDE WANGU BADO
 
Kodi ndio msingi Wa kila kitu. Katikà kutekeleza mipango ya Taifa lolote. Hebu tusaidiane kupeana mrejesho Wa makusanyo ya kodi kwa mwezi Wa NNE na watano. Mama amesisitiza watu walipe kodi bila shurti.

Mwitikio ukoje?
Kuna kitu umeona kimekwama kufanyika sababu kodi imeshuka au ndiyo unademka tu?
 
Tulishazika propaganda za kupika data na kutangaza ili hali ni uongo,sasa hatupigo kelele tunafanya tu
Si suala LA kupiga kelele Bali ni suala la uwazi/transparency ambayo ni msingi mojawapo Wa utawala bora!!, mambo ya kimya kimya tutapigwa changa la macho!! Pesa tunazitoa sisi lazima tupewe feedback! Tunasubiri tutangaziwe makusanyo ya kodi ya April kisha May!!
 
Mpigaji mahususi na genge lake hawapo sasa,na masalia yanapukutika mdogomdogo
 
Back
Top Bottom