Tathmini ya kuunga mkono hoja ya kukataa kuoa au kukataa kuishi na mwanamke kwa pika pakua

Tathmini ya kuunga mkono hoja ya kukataa kuoa au kukataa kuishi na mwanamke kwa pika pakua

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,

Kuna vitu vimetamalaki na jamii inaona kawaida.

1. Sauti za wanaume hasa katika uongozi, maelekezo, makatazo na maonyo zimekuwa ndogo kuliko maamuzi ya wanawake.
2. Chachu ya point namba 1 ni jeuri, kiburi na dharau.
3. Utii na unyenyekevu vinapuuzwa. Hakuna ndoa bila utii na unyenyekevu
4. Namba tatu ndio malighafi ya neno Heshima.
5. Kila mwanamke anajiona mzuri hivyo hujiona kumkubalia mwanaume kimapenzi ni msaada.
6. GenZ wengi katika wanawake na wazaliwa wa 1992- 1995 kwenda juu ni majanga hili kundi lina single mothers na mashangazi wenye sumu hatari.

Ntarudi baadae kuendelea na points na hoja zake
.
Siku njema ndio baraka halisi

Chief Wadiz
 
Back
Top Bottom