Tathmini ya mapato ya kilimo cha michungwa 1000 baada ya miaka 3

Tunaomba mrejesho please,
Na ni Miche ya aina gani hiyo inayotoa Machungwa 4,000 kwa msimu??
 
jamani acheni uswahili anaetaka kuona marejesho nimesema afike shambani
 
Inatakiwa tulime wachache ili tupate bei juu. Wale ambao wanajiulizauliza na mashaka mashaka waache
 
HEHEHEH HII PROJECT NZITO KWAKWELI..KIMSINGI MCHUNGWA UNAOANZA KUZAA UNAWEZA KUTOA MACHUNGWA 300 KWA MSIMU..NA MCHUNGWA ULIOKOMAA UNAWEZA UKAZAA MPAKA MACHUNGWA 1200 KWA MSIMU..TENA HAPO UMEUJALI SANA...INGEKUWA MAPIGO NI MACHUNGWA 4000-7000 BASI WAKULIMA WA MACHUNGWA WANGETOBOA SANA..MAANA MACHUNGWA HUWA HAYAKAUKI MJINI KAMA NDIZI.
 
Kwa kweli tuache mada za kulima kwenye vitabu. Mimi nina uzoefu wa kutosha katika kilimo hiki cha machungwa . Mbegu ambayo iko sokoni kwa sasa ni valencia na kama umejitahidi sana kuzaa ni Machungwa 1500 tena baada ya miaka 4 au 5 huo ndio uhalisia
 
Unataka kupiga hela za watu wewe, mti mmoja machungwa 4,000 kwa msimu!, hiyo mbegu unayo wapi wewe
 
ww huna kazi ya kufanya unapoteza muda humu jf na nakutabiria na utanikumbuka hutokuja kua na maisha mazuri ya kumtuma mtu!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] biashara ya michungwa inaendeleaje mkui?
 

Ndoto na nadharia chanya japo kwenye uhalisia haipo.Ni kweli kilimo cha machungwa kinalipa lakini si kwa hesabu ya matunda 4000 baada ya miaka 3.Hata kama una mbegu nzuri mno(tutajie aina ya mbegu) huwezi kuvuna zaidi ya machungwa 1000 kwa mti mmoja baada ya miaka 3 tangu upandikize.
 
Tunaendelea,naamini wana Jf walionunua wameisha anza kuvuna machungwa 4,000
Ni mradi mzuri lkn machungwa 4,000/- per orange tree hapana. Nimepata picha za machungwa kwenye topic tu, hata machungwa 200 hayafiki. Sijui kwa nn anasema machungwa 4,000/-?

Hivi haya machungwa yanafika hata 200?





 
Atakuwa alimaanisha mwaka mzima....ikiwa unamwagilia continiously,kwani mauwa mengi yanakuwa baada ya supply ya maji ya mvua kukatika.....just a thoought
 
unazungumzia michungwa au zambarau kwa 4000 hapana halaf unajina la kiislamu na hii ramadhani bado tu unadanganya kwani ukisema ukweli watu hawatanunua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…