Tathmini ya mapato ya kilimo cha michungwa 1000 baada ya miaka 3

Tathmini ya mapato ya kilimo cha michungwa 1000 baada ya miaka 3

kama wapata burudani lipia kabisa ,halafu unasema nimetukana? nimemtukana nani? nimejibishana na unanilaumu mm je umeangalia huyo anekiuliza kauliza nn mpaka tukabishana wacha mambo yenu hayo hamutaki kufanya kazi kisha mnasingizia serikali hakuna serkali hata moja duniani inayogawa fedha! fanyeni kazi nyinyi!
 
Tatizo lako mkuu unataka hela za watu za shortcut bila kujuwa wapi wanapata, weka vielelezo vya kutosha watu walidhike na majibu yako waweze kutoa hela zao, eti mchungwa mmoja unauza 3000 still hapo hutoi maelezo ya kutosha watu wakakuelewa, am out kwenye hii project bora nife maskini ila siwezi kuingia kichwa kichwa kwenye issue kama hii ambayo unashindwa kuitolea ufafanuzi, zaidi ya kupigia debe michungwa yako unayouza..... watu wenye akili zao timamu na uzoefu wa kilimo wakina Malila hata hawajachangia coz wanajuwa hii kitu ni impossible......Umeulizwa maswali mengi maana nawasiwasi hata wewe mwenyewe hujalima maana kuna viswali vidogo vidogo vimeulizwa ambapo umeshindwa kujibu kabisaaaa
 
Last edited by a moderator:
kama wapata burudani lipia kabisa ,halafu unasema nimetukana? nimemtukana nani? nimejibishana na unanilaumu mm je umeangalia huyo anekiuliza kauliza nn mpaka tukabishana wacha mambo yenu hayo hamutaki kufanya kazi kisha mnasingizia serikali hakuna serkali hata moja duniani inayogawa fedha! fanyeni kazi nyinyi!

Halafu inaonyesha hata shule hamna kunaserikali nyingi tu duniani zinatoa hela za bure kwa wananchi wake (Unemployment Benefits) na hata Africa Gadafi alikuwa anatoa kwa wananchi wake na acha kuwaambia watu hawataki kazi kisa wamekuchallenge kidogo tu unawajua hao watu humu unaosema hawataki kazi? au kazi ni kulima michungwa yenye uwezo wa kubeba machungwa mengi kuliko uzito wa mti wenyewe? Jipange dogo
 
kweli kabisa huyo ajalima kitu maana anasema mara rafiki yake inaonyesha dhahiri huyu ni dalali tu.
 
ww ndo hujaenda shule kama unasubiria kupewa pea na serikali basi utasubiri sana halafu ww unaonekana hata kazi huna ndio mana unapenda kuchallenge vitu vya kijinga kwani mm nimekuletea wazo uchallenge hapa nenda jukwaa la elimu hapa ni kibiashara zaidi!
 
yeye mwenyewe usimuone chizi kutochangia hapa yupo zake anajitafutia hizo mbegu tena anaenda sana resi kaa hapo useme hachangii wenye akili zao huanza kwa effort kwanza wacheni blaablaa zenu, mm nimeweka hili wazo kwa walio na pesa zao hawajui cha kufanya nyinyi kama mnamikopo yenu kutoka benki hiyo ni shauri zeu watu wenye pesa zao wameshaniona tumeshaongea na tumeshamaliza na wameshatoa hata oda ya hiyo micha
 
Kaka huyu dogo ni Pimbi sana ana majibu ya hovyo sijawahi ona na bado anatoa ideas za Kitapeli humu eti mchungwa unaweza kubeba machungwa makubwa 4000

Ndugu yangu Forum ya Ujasiria mali huwa inawatu wastaarabu kabisa huku watu hubadilishana mawazo kwa ukarimu na upendo wa ajabu, hii forum ilishanisisimua sana jinsi watu wanavyosimuliana matatizo na kupeana mawazo ya ufumbuzi, kamwe sikumbuki kusoma mtu akimdhihaki au kukebehi mwingine kama kwenye viwanja vingine huko! Lakini naona taratibu virusi wameanza kuingia huku naomba muweze kutambua mapema virusi kama hiki ili tusipotezeane channel!
 
Ni kweli mkuu inasikitisha huku ni kwa wastaarabu huwa hakuna Kashfa na kama hujui kitu unasema tu hujui na hata mkipishana mawazo hakuna Kashfa ila tutavishambulia tu hivi virusi vitoke huku
 
Siku zote huangaliwa mmalizaji ila mwanzilishi hamumuangalii ukichunguza nani alieleta virus hapa wacha kushutumi kitu ambacho hujakifanyia uchambuzi
 
He (Khatam) just a conman.. i dnt knw if xul is 'yes' there.. he fails even analys his projct.. Where is he BELIEVING??
 
kwa sasa wananitosha maana hiyo miche 5700 wameshaimaliza kwa bei ya 3000 na hakuna hata mche mmoja mpaka msimu mwingine nyinyi endeleeni kupiga soga! hao jamaa baada ya miaka mitatu watakua wamewapiga gap la ajabu ninachopokea kutoka sasa ni order tu basi!

Mkuu mwanzoni ulitaja bei ya miche ni 1500,naona kitu isha appreciate to 3000 over few days!
 
,ghrama
ekari 1 = michungwa 76
michungwa 1000 = ekari 13.1

mwaka wa kwanza
miche 1000 kila mche tsh 1500 -- 1500*1000 =tsh 1,500,000/=
kutayarisha shamba ekari moja tsh 30000 -- 30000*13 =tsh 390,000/=
kuchimba mashimo kila shimo tsh 300 -- 300*1000 = tsh 300,000/=
kupanda kila kupanda mche mmoja tsh 200 -- 200*1000 = tsh tsh 200,000/=
mbolea samadi kila ekari tsh 20000 -- 20000*13 = tsh 260,000/=
dap(50 kg) kila ekari tsh 40000 -- 40000*13 = tsh 520,000/=
can(50 kg) kila ekari tsh 36000 --36000*13 = tsh 468,000/=
dawa kila ekari tsh 20000 -- 20000*13 = tsh 260,000/=
kupalilia kila ekari tsh 40000 -- 40000*13 = tsh 520,000/=

mwaka wa kwanza =4418,000/=

mwaka wa pili ni kupalilia tu 520000/= 520,000/=

mwaka wa tatu ni kupalilia na kuvuna
kupalilia 520,000
kuvuna 1,400,000
mwaka wa tatu = 1920,000/=

gharazama ya kumwagilizia kwa muda wa miezi 14

kisima kuchimba 3500,000
tank za maji 1200,000
irrigation system pipe 700,000 = 5400,000/=

total 12,258,000/=

kilimo cha umwagiliziaji ni bora kwasababu ukishapanda kila mche kwa kila siku unahitaji kumwagiliziwa lita mbili za maji kwa muda wa miezi 14 na kwa uhakika utavuna kile unachokihitaji

Hiyo irrigation ya 700 thou ikoje kiongozi, umefunga kwenye kila mche?
 
Mkuu kahtan Ahamed heshim sana,

Nimepitia bandiko lako nikaona yapo baadhi ya mambo yanahitaji kuboreshwa kidogo.

Kwanza hakuna mchungwa unaweza kuzaa chungwa 4,000.Uzoefu wangu wa kulima machungwa wa zaidi ya miaka mitano mti mmoja ni kati ya chungwa 600 - 800 katika msimu mmoja.

Kuna aina nyingi za chungwa zinazolimwa Tanzania hasa mikoa ya ukanda wa Pwani ie Tanga,Pwani,Dar na Morogoro.

[1] Msasa (Kubwa na Ndogo) hii ni aina nzuri ya chungwa,inaweza kusafirishwa umbali mrefu bila kuharibika.Soko lake kubwa ni Kenya na miji ya Dar,Arusha,Kilimanjaro ....

[2] Valensia ni aina ya chungwa linaloweza kusafirishwa mbali.Aina hii ya Chungwa ipo kwa wingi Muheza na kidogo limeanza kulimwa maeneo ya Korogwe na Handeni (Michungwani,Kwedi Zinga na Kabuku) Uzuri wa Valensia msimu wake mara nyngi unatokea wakati msimu wa chungwa umekwisha au machungwa yanakuwa hayapo sokoni kwa wingi.Wakulima wengi wanapendelea kulima aina hii ya chungwa kwasababu za kibiashara zaidi.

[3] Jaffar ni aina ya chungwa kubwa zinazozaa sana mara nyingi msimu wake wa mavuno unagongana na Msasa.Jaffa ni kubwa,lina maji mengi,ni tamu sana,linaweza kuliwa hata kama halijaiva vizuri.Ubaya pekee wa Jaffa ni kuharibika kwa wingi linaposafirishwa mbali.wafanyabiashara wengi hawapendi kuyanunua kwa wingi kwa kuhofia kuharibika yanapofika sokoni.Jaffa si chungwa zuri kwa biashara lakini si vibaya ukayachanganya kidogo shambani let say katika eka 13 ukaweka eka 1.

Nitarejea baadae kukupatia uzoefu wangu wa namna bora ya kuanzisha shamba la michungwa,miembe na minanasi ukipenda stay tune.

Am already a

2008322814358781.gif
 
Chungwa moja nimelipima sasa hivi lina gramu 200 machungwa 4,000 ni gramu 800,000 yaani kilo 800. Ni sawa na kumpakia Ng'ombe dume juu ya mchungwa. Huo mchungwa lazima uwe na matawi ya chuma

:confused2::confused2::confused2::confused2:
 
sikilizeni kama mnataka kujua waulizeni wataalamu wenu juu ya machungwa aina ya ventore kisha mpate details mana naonekana kama nadanganya na hiyo miche ya pichani ni machungwa yaliyopewa na sikusema kama ni ya miaka mitatu ila nimetoa kwa uthibitisho

Mh, kwani kwenye red hapo si ndo aina yenyewe ya machungwa yanayonadiwa au...!!!? Mbona mleta mada kashayataja halafu akasema hayataji ng'oooo eti ni bidzshnesh...mh..! tusije tukawa tushavurugwa hapa...mwe...!!!
 
Watanzania tumezoea sana kilimo cha jembe la mkono. Mtu akija na mawazo kama haya tunaona hiawezekani. Natamani ningekuwa na ardhi ningeweza kuwekeza hizo Tsh. 15m
 
Mh, kwani kwenye red hapo si ndo aina yenyewe ya machungwa yanayonadiwa au...!!!? Mbona mleta mada kashayataja halafu akasema hayataji ng'oooo eti ni bidzshnesh...mh..! tusije tukawa tushavurugwa hapa...mwe...!!!

Tatizo uki google hiyo Ventore,huipati hata kwa bahti mbaya:confused2::confused2:
 
Tatizo uki google hiyo Ventore,huipati hata kwa bahti mbaya:confused2::confused2:

Mkuu ushapata jina lake, acha uvivu, nenda maduka ya kilimo utapata maelezo ya kina toka kwa wataalamu wa hiyo fani. Huyu ni mfanyabiashara. kama ulivoona kasema kashauza kwa Tshs 3,000 wakati kwenye tathmini ni Tshs 1,500! usishangae ukitaka kuweka oda kwake akakwambia ni 5,000! lazima itakuwa inapatikana kungine kwa bei chee tu, yeye hawezi kuwa wa kwanza na wa mwisho kwa teknolojia hiyo.
 
Back
Top Bottom