CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Nimekusoma mkuu.sasa hii ni biashara mm nauza wazo la biashara sasa kama nikikutajia na jina si biashara ndio imekufa kama unahitaji tukae kwenye meza tuongee biashara!
Dar ntakupata wapi sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekusoma mkuu.sasa hii ni biashara mm nauza wazo la biashara sasa kama nikikutajia na jina si biashara ndio imekufa kama unahitaji tukae kwenye meza tuongee biashara!
hiyo pesa yako ndogo kanunue bajaji huna uwezo wa kumili gari unajua mungu mewauumba wanaadamu kwa classes so ww hupo ktk class ya kumiliki gari bado na hizo pesa ulizokopa ukinunua bajaji ikikuzingua utajuata!
kama unajiona una ardhi maeneo hayo nilisema na una nia ya kilimo hiki na pesa unayo kwa ajili ya gharama na kunilipa mm nitafute tuake mezani ww unataka jina kwani mm nilietafuta hizi details na kuzifanyia kazi nimepoteza muda wangu na gharama zangu wacha kung'ang'ania jina siwezi kuwapa jina hata siku moja na nikifika tanga nitawapa picha za hiyo michungwa
kuna thread ume-post kule kwenye matangazo madogo unauza daihatsu terrios ....
umejibu mteja hivi
hapa tena majibu yako ni haya
i smell something fishy
mkuu ... kwa mchanganuo huu wa mapato .... ukipeleka business plan banki wataita polisi
kwani ww shida yako nini mjomba na kama kweli unafuatilia mbona umekileta nilichokijibu wala hukukileta nilichoambiwa? wacha ufitishaji hizo ni tabia za kina mama, mtu mzima yako akili kuangalia maisha yako, ndio mm nauza daihatsu sasa dili ya daihatsu na michungwa imekujaje kwani kipi kinachokuuma mm kufanya biashara aina tofauti hemu chunga muda wako na ufanye ya maana kukuza kipato chako na kutunza heshima yako na muda wako pia!
sasa hii ni biashara mm nauza wazo la biashara sasa kama nikikutajia na jina si biashara ndio imekufa kama unahitaji tukae kwenye meza tuongee biashara!
kwani ww shida yako nini mjomba na kama kweli unafuatilia mbona umekileta nilichokijibu wala hukukileta nilichoambiwa? wacha ufitishaji hizo ni tabia za kina mama, mtu mzima yako akili kuangalia maisha yako, ndio mm nauza daihatsu sasa dili ya daihatsu na michungwa imekujaje kwani kipi kinachokuuma mm kufanya biashara aina tofauti hemu chunga muda wako na ufanye ya maana kukuza kipato chako na kutunza heshima yako na muda wako pia!
na kama unasubiria nikwambie pole subiri mpaka mwisho wa dunia pole sana! kama mshazoea vya bure hapa kwangu nooooooooooooooooooooooooooooooo!
Madogo wanao maliza sua, ud, udom wakichukua idea wataachana na ubankteller
ww huna kazi ya kufanya unapoteza muda humu jf na nakutabiria na utanikumbuka hutokuja kua na maisha mazuri ya kumtuma mtu!