Leslie Mbena
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 207
- 677
TATHMINI YA LEO;
Taarifa ya habari ITV & TBC1.
Nipo Kinondoni Mkwajuni nakunywa bia mahali hapa nilikuja kunywa bia hivi hivi Mwaka 2015, tofauti ya Mwaka huu 2020 watu wamemsikia Lissu wakasema bado Magufuli, Magufuli akaonyeshwa uko Nzega, watu wakasema Lissu anajisumbua asubiri 2025, Mwaka huu 2020 tunaenda kumpa kura Magufuli.
Kumbukumbu;
Mwaka 2015 kwenye bar hapa Kinondoni watu walimuangalia Edward Ngoyai Lowassa na baada ya Lowassa kila mtu alitawanyika na bar zilibaki tupu.
Nini Umegundua?
Rais John Pombe Magufuli tayari yupo kwenye mioyo ya Watanzania kama alivyokuwa Edward Ngoyai Lowassa.