Tathmini ya usajili mpaka sasa simba wamepata hasara kubwa kuliko klabu zote.

wamepata hasara kubwa sana kama ile ya kufukuza wacheza zaidi ya 12 msimu ule ..
Hiyo hasara ni $ ngapi?

Tathimini za kufanya ukiwa chooni unakata gogo baada ya kupiga nyeto ndio hizi sasa 😂😂
 
Wachezaji walivunjiwa mikataba bure?

Jadili mada
Jadili kuhusu Kengold na wengineo wote walio chini ya Simba katika msimamo wa NBCPL.

Simba anaongoza ligi halafu wewe unarefusha domo kujadili Simba kupata hasare katika usajili....

Mbaya zaidi hujaonesha wazi kiasi cha fedha (hasara) hizo.

Acha kufanya tathimini ukiwa chooni ndugu, huwezi jenga hoja huku unakata gogo 😁
 
Timu Yako inashika nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa NBC premium league??
 
Mwafrika ni vigumu sana kuwa neutral akaweka ushabiki pembeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…