Tathmini ya usajili mpaka sasa simba wamepata hasara kubwa kuliko klabu zote.

Wachezaji walivunjiwa mikataba bure?

Jadili mada
Jadili kuhusu Kengold na wengineo wote walio chini ya Simba katika msimamo wa NBCPL.

Simba anaongoza ligi halafu wewe unarefusha domo kujadili Simba kupata hasare katika usajili....

Mbaya zaidi hujaonesha wazi kiasi cha fedha (hasara) hizo.

Acha kufanya tathimini ukiwa chooni ndugu, huwezi jenga hoja huku unakata gogo 😁
 
I salute you kinsmen.
Usajiri ule wa dirisha kubwa na hili dogo team mbalimbali zimesajili ikiwemo simba na yanga .

Usajili ni patapotea ila kwa kiasi kikubwa usajili ni akili ya viongozi na utashi wao wasiingie chaka.

Simba ndiyo team inayoongoza kupata hasara kwa wachezaji iliowaleta msimu huu, total loss!

Katika wachezaji walioleta dirisha kubwa na dogo ni wachache wameingia kwenye mfumo na matunda kuonekana.

1;Baunsa Ateba( japo ana goli za penati)

2;yusuph kagoma ( naye pancha nyingi)

3;moussa Camara

4;Hamza Jr

1;JOSHUA MUTALE (kinda la miaka 22)
Huyu hana goli wala assist.

2:Okajepha.( hili tapeli la kinaijeria)

3:valentine nouma( anakula mshahara wa bure)

4:Chomou karaboue( alifaa akacheze mieleka).

5;Valentino mashaka( anazidi kunenepa banch)

6;Elie mpanzu( hapa watafute cheating jingine mechi 5 hana kitu)

7:hussein abel ( huyu tangu Aletwe amekuwa akifua jezi badala ya kudaka)

8;Steve mukwala ( striker mzembe kuliko wote anazidiwa magoli mpaka na mabeki)

9;Edwin balua ( kwa sasa makalio yake yameacha alama pale banch)

10: Debora Fernández ( ukifananishwa na Aucho lazima Upotee uwe wa kawaida)

11: Kevin kijili (akili ndogo huumiza mwili)

Na magarasa mengine mengi tu yamejaa mule, mengi tu hayana kazi wala hayatumiki
Kiungo punda mzamiru
Kevin kijili
Ally salim
Saleh karabaka
Ladack chasambi

Hivyo kwa tathimini hii basi hawa inatakiwa waachwe hawana msaada wowote na simba wamepata hasara kubwa sana kama ile ya kufukuza wacheza zaidi ya 12 msimu ule ..

Wabadilike
Its Pancho
Timu Yako inashika nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa NBC premium league??
 
Mwafrika ni vigumu sana kuwa neutral akaweka ushabiki pembeni.
 
Back
Top Bottom