BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
tulipomkabidhi MUNGU hii VITA ndipo tuliposhinda.
"mtoto hawezi kumuomba baba yake MKATE alafu baba akampa JIWE.".
(nukuu ya yesu)
NA endapo watu wangeendelea kuumwa na kufa
Basi magufuli angechekwa sana .
Ila MUNGU amemuokoa na hyo AIBU.[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hakika ni kweli, hili ndilo lililotuokoa. Corona ilishika kasi machi,april na mei mwanzoni lakini baada ya hapo kumekuwa na tofauti kubwa sana. Pamoja na kuwa watu walikuwa wanajiuguza ndani wenyewe lkn taarifa zilikuwa zinasikika, maofisini, mtaani, ndugu,n.k lakini kwa sasa kuna utulivu mkubwa ila corona bado ipo na Mungu ataendelea kutupigania.
Sina jirani wala ndugu aliathirika na huu ugonjwa. Huenda upo ila ni kwa idadi ndogo sana ndo maana serikali imeruhusu raia kuendelea na mishe zao za kila siku. Sidhani kama serikali itawaachia raia wake waendelee na shughuli zao wakafe kwa haraiki, haina faida kwa serikali kwa vyovyote vile haijalishi umesimamia angle ipi. Kuna kitu serikali inakijua kuhusu hili, tuwaamini.
Hapa ndipo nilipomkubali sana Mungu amtunze.Angechekwa sana huyu mzee.
Kwenye ugonjwa mzito kama huu kuwaambiwa wananchi wako wamuombe MUNGU, wajifukize wale na malimao na tangawizi.
ni wazi kwa akili za kawaida ni UCHIZI.
ila alisimamia msimamo wake.
Sidhani kama Mungu ndio sababu kuu, kwasababu nchi nyingi kama sio zote pia zilimuomba Mungu, tofauti inawezekana ni huko kula malimao, Tangawizi na kujifukiza kwa wingi, kwasababu ndio kitu ambacho Tanzania imetofautiana na nchi zingine dunianiHapa ndipo nilipomkubali sana Mungu amtunze.
Na inaonesha tangawizi inalimwa sana nchini.Sidhani kama Mungu ndio sababu kuu, kwasababu nchi nyingi kama sio zote pia zilimuomba Mungu, tofauti inawezekana ni huko kula malimao, Tangawizi na kujifukiza kwa wingi, kwasababu ndio kitu ambacho Tanzania imetofautiana na nchi zingine duniani
Huu ugonjwa wa corona, sijajua kwa mataifa mengine, but kwa TZ ni seasonal disease, huja na kutoweka.Na inaonesha tangawizi inalimwa sana nchini.
Ila mm pia binafsi hakuna ninayemjua wala kusikia ameugua au kufa kisa corona.
Ninaishi Sinza, ninatembelea sana sehemu za Kariakoo, Ilala, Mbezi, G/mboto, Mwenge, Morogoro nk.
Ndani ya hii miezi mitano, nimeshuhudia kifo kimoja na familia nzima kupelekwa quarantine ila walipona na sasa nipo nao mtaani. Personally hivi nimevishuhudia. Tetesi zinasema kuwa Corona ipo Tanzania kama mataifa yeyote tu. Je, hii habari ni ya kweli au uzushi tu?
Basi naomba tuutathmini uhalisia kwa pamoja. Kwa Mtanzania atayesoma huu uzi, naomba utuelezee uko ulipo kuna kisa chochote ulichokiskia au mpo salama?
IG#swahili_alpha
Hivi kwanini hatupimi Ebola Tanzania?, hivi Ugonjwa wa Dengue tulikua tunapima kila mtu?, hivi jambo gani linakupa ujasiri wa kusema kwamba Tanzania hakuna Ebola wakati hatujawahi kupima mtu hata mmoja?. Hivi unahisi bado Dengue ipo kama ilivyokuepo mwaka mmoja nyuma?.Mkuu kupata tathmini ya huu ugonjwa mahali popote kwani ilihitaji kuulizana kijima kijima namna hii?
Kwa nini kuandikia mate hali wino upo?
Ngoma haipimwi kwa macho wala kilichomwua marehemu hakifanyiwi tathmini kihisia.
Mzizi wa fitina ni kupima tu. Hakuna vipimo, hakuna facts. Hakuna facts, no right to speak.
Tutaendelea kujidanganya huku tukipukutika kimya kimya tukidhania ilikuwa 'stroke' kumbe kovidi kumi na Tisa.
Hili huwa linanishangaza sana.Kuna vile vyama vya siasa vilikuwa busy kueneza uwongo na kulazimisha serikali ifungie watu ndani naona sasa hivi wanafanya mikutano yao ya ndani wanajazana halafu hakuna social distance wala kuvaa barakoa.
Hivi kwanini hatupimi Ebola Tanzania?, hivi Ugonjwa wa Dengue tulikua tunapima kila mtu?, hivi jambo gani linakupa ujasiri wa kusema kwamba Tanzania hakuna Ebola wakati hatujawahi kupima mtu hata mmoja?. Hivi unahisi bado Dengue ipo kama ilivyokuepo mwaka mmoja nyuma?.
Lazima kuwepo sababu na vigezo vya kupema watu, haukurupuki kupima raia wako dengue au Ebola kama ugonjwa wenyewe sio tishio kwa Taifa au hata mkoa, tishio kwa maana hakuna wagonjwa wengi mitaani na Hospitalini ambao wanagundulika kuambukizwa, au hakuna vifo vingi vinavyohusishwa na huo ugonjwa.
Sasa kama tutakua tunaulizana bila kujibu maswali uliyoulizwa hatuwezi kuwa na mjadala wenye maana. Nilikujibu kwa kukuambia kwamba serikali itaamua kupima tu kama ugonjwa utaonekana ni tishio katika jamii, ugonjwa unakua ni tishio kamaMbona tunapima ukimwi mkuu? Tena kuna uhamasishaji wa hali ya juu kwenye kupima ukimwi? Au wewe hujazisikia hamazishaji hizo?
Mbona hata madhehebu mengi tu hata ndoa haifungwi bila uthibitisho wa afya ki ukimwi?
Acheni siasa kwenye magonjwa ambayo yapo, yanayo ambukiza kwa kasi na hata kuuwa tahadhari husika zisipochukuliwa!
wengine sio wakujibizana nao mkuuSasa kama tutakua tunaulizana bila kujibu maswali uliyoulizwa hatuwezi kuwa na mjadala wenye maana. Nilikujibu kwa kukuambia kwamba serikali itaamua kupima tu kama ugonjwa utaonekana ni tishio katika jamii, ugonjwa unakua ni tishio kama
1)Umeambukiza watu wengi ni unahatari ya kuambukiza watu wengi zaidi.
2)Umesababisha Hispitali zetu kupokea wagonjwa wengi wanaogundulika kuwa na maambukizi
3)Unasababisha vifo vingi mitaani na Hosputalini vinavyohusishwa na ugonjwa huo.
Ukimwi umekidhi vigezo vyote katika ya hivyo vitatu nilivyovijata hapo juu.
Sasa wewe nijibu kigezo kipi kinakufanya kutaka Serikali ipime Corona kama inavyopima Ukimwi, toa ushahidi kwa jibu lako.
Kwanini usishauri Serikali ipime Ebola na dengue?
wengine sio wakujibizana nao mkuu
Mimi niko eneo ambalo lina wanafunzi elfu nane na wote wametok mikoa tofaut adi leo mwezi unatimia hatujapata izo case
Mimi CIO msomi no kilaza tu naongea kitu nachokion kila sikuKwa kigezo hicho peke yake hamna haja ya kujiridhisha tena kwa lolote kwa maana ugonjwa haupo tena kwetu!
Kama hizi ndiyo products za hivyo vyuo vyetu vyenye wanafunzi 8,000 ni heri nibakie kwetu 'ikungu lya bashashi' nibobee kwenye ramli kwani kweli nitajibizana nawe nini?
Ushauri kuntu kwa serikali yetu tukufu, sasa ni wakati wa declare Corona kwishney. Msomi mart66 amethibitisha hilo na kufanya hilo beyond reasonable doubt.
Sasa kama tutakua tunaulizana bila kujibu maswali uliyoulizwa hatuwezi kuwa na mjadala wenye maana. Nilikujibu kwa kukuambia kwamba serikali itaamua kupima tu kama ugonjwa utaonekana ni tishio katika jamii, ugonjwa unakua ni tishio kama
1)Umeambukiza watu wengi ni unahatari ya kuambukiza watu wengi zaidi.
2)Umesababisha Hispitali zetu kupokea wagonjwa wengi wanaogundulika kuwa na maambukizi
3)Unasababisha vifo vingi mitaani na Hosputalini vinavyohusishwa na ugonjwa huo.
Ukimwi umekidhi vigezo vyote katika ya hivyo vitatu nilivyovijata hapo juu.
Sasa wewe nijibu kigezo kipi kinakufanya kutaka Serikali ipime Corona kama inavyopima Ukimwi, toa ushahidi kwa jibu lako.
Kwanini usishauri Serikali ipime Ebola na dengue?
Bila kupima unatumia data ipi kuonesha maambukizi yamepungua??hivi watanzania wengi mbna hua hampendi kushirikisha akili kwenye hoja zenu!mnachoambiwa na serikali ni kubandika tu akilini na kuamini bila kujadili.....Kwa kweli serikali yenu inafanya kimaksudi kutofadhili sector ya elimu ili muendelee kuwa wajinga na kutouliza maswaliKwanini hutaki kukubaliana na ukweli kwamba Tanzania Corona imepungua sana ukilinganisha na nchi zingine?. Hivi Kenya mnaweza kuthubutu kufungua vyuo na shule zote bila wanafunzi kuambukizwa kwa wingi kiasi cha wazazi kuwarudisha watoto wa majumbani?.
UNICEF wenyewe wamekiri na kusema ni salama kwa wanafunzi kurudi mashuleni, wewe unayeendelea kukataa na kubisha unalengo gani?.
Kaka inaonekana hufuatilii mambo ya nchi yako vizuri, unasema Dengue haijathibitishwa kuwepo nchini?, dengue imetikisa na kuuwa watanzania wengi kuliko Corona mwaka mmoja uliopita, hadi sasa dengue ipo lakini imepungua sana, kama ilivyo malariaSi Ebola wala Dengue iliyowahi kuthibitishwa kuwapo nchini. Hivyo suala la kwa nini Ebola wala Dengue havipimwi ni suala lisilo na mjadala.
Ukimwi dhidi ya Corona? Ni wazi kuwa ni heri kupima Corona kuliko hata kupima ukimwi kwa sababu lukuki zilizo wazi wala zisizo hitaji mjadala. Uthibitisho katika hilo upo wazi mno kiasi hata kukuorodheshea itakuwa ni kukudunisha bure mkuu.
Burundi baada ya Nkurunziza imetuacha peke yetu. Sasa hivi wao Corona ni issue yaani agenda no#1.
Wanasema waungwana aisifiaye mvua itakuwa imemnyea. Wanajua nini kimemtanguliza Nkurunziza mbele za haki.
Kwamba sote tumekubaliana na hii janja janja? Jidanganyeni wenyewe.