BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Sina jirani wala ndugu aliathirika na huu ugonjwa. Huenda upo ila ni kwa idadi ndogo sana ndo maana serikali imeruhusu raia kuendelea na mishe zao za kila siku. Sidhani kama serikali itawaachia raia wake waendelee na shughuli zao wakafe kwa haraiki, haina faida kwa serikali kwa vyovyote vile haijalishi umesimamia angle ipi. Kuna kitu serikali inakijua kuhusu hili, tuwaamini.