Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Usijidai ulikuwa ng'ambo, alivyowafelisha waislam akasingizia kompyuta ulikuwa wapi?
Wanafelishwa wapi wakati mnapenda kucheza vigoma, na kula urojo na wengine wakimaliza darasa la saba ni kuolewa tu fanya utafiti uone maisha ya waislam wenzako uone, ukiona kafaulu bila shaka ana marafiki wengi wakristo na hata mitaa anayotoka sio uswahilini chunguza
 
Naongea hili wewe unaongea lile, iweje aseme ni kompyuta na sio yeye?
 
Kwa makonda asiye Na Malinda umebugi meni
 
Sura mpya kwenye baraza

1. Jackson Kiswaga

2. Mwana Fa

3. Msambatavangu

4. Katambi

5. Gwajiboy

6.Kimei

Wateuliwa nafasi 10

1. Makonda
2. Mwanri
3.Queen Sendiga
 
Paul Makonda anapewa uwaziri hiyo haina mjadala, ubunge nao atapewa tu
 
Mkuu umenikosha hapo kwa Mh Mwanri tu
 
Huyu mkenda WA rombo mhhhh namuona kabsa akiulamba
 
11. Ngosha Jaga
12. Tujage Lulu
13. Wajagahi Sengi
14. Magulu Nkembele
15. Bebeshi Ulisata
15. Nangu Maguta
16.Nda Nhale
17. Magulu Kusata
18. Lamaga Nshimba
19. Hela Jinga
20. Mwabeja Getegete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…