Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

giphy.gif
 
Jerry Slaa!!
Angalia historia ya Magufuli na Slaa. Huyu alikuwa kundi gani kwenye chaguzi za nyuma. Ana uwezo lakini atakuwa benchi!
 
Hao mnaowataja mnawaharibia bila kujua. Mhe. Rais hapangiwi, na mnaowataja watu na kujifanya watabiri ndo mnawaharibia kabisa. Mwacheni Mhe apange timu take ya kazi
 
Kiboko ya Zitto Kabwe Kigoma Mjin
Huyu Jamaa ni Afisa Kipenyo wa miaka mingi sana,

Akiwa Katibu wa Ccm Mkoa wa Dsm aliwahi kupambana na Mzer Mengi miaka hiyo

Pia aliwahi kutumwa kumkosesha Uenyekiti wa Mkoa Mzee Mangula
Huyu Jamaa kwa zitto anaingia Mara milioni,bila kupewa asingeambulia chochote hana umaarufu hata kwa wapiga kura na alikuwa Hana Sera kwenye kampeni zake unakosea kusema ni kiboko ya zitto,
 
Kimei labda unaibu waziri wa fedha. Kwangu mimi naona anafaa kuwa waziri wa viwanda na biashara na wizara ya fedha abaki Mpango.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Kati yao yupo atayefaa kuwa kiongozi wa nchi hii miaka ijayo!?
 
paul makonda ateuliwe mbunge na rais kisha apewe wizara ya mambo ya ndani.
 
Back
Top Bottom