Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Bongo bwana ni nchi nzuri sana,yenye furaha na amani tele,wepesi wa kusameheana na kusahau yaliyopita.

wana CCM na wanaChadema leohii wanashirikiana kubashiri balaza jipya la mawaziri 2025.
pongezi kwa wote,hivi ndivyoinatakiwa.

uchaguzi huu tulioshinda ni sisi watanzania kama taifa,sio CCM wala Chadema ni watanzania ndio tumeibuka washindi kwenye huu uchaguzi.
Ha ha ha ha [emoji846][emoji1787][emoji1787][emoji12]
 
Kenya wameulahisisha uchumi wao kwa kufungulia fursa za wananchi wao kufanya biashara kimataifa wakiwa nchini mwao online
Hii imekuwa rahisi baada ya system ya kenya kuruhusu mihamala ya kifedha kufanyika kupitia paypal na njia zingine ambazo hapa bongo zimepigwa pini na wakubwa ili kulinda hisa zao mpesa,tigopesa etc
Paypal itapanua wigo wa ajira kwa vijana ndiyo wabongo wengi wanazitafuta laini za sadaricom kenya
 
Kumpa Kimei wizara ya fedha ni hatari sana kwa nchi hii.

Hawa jamaa wapo kimkakati sana,utaona wachaga wapo kila penye dili za hela na wanapata upendeleo sana.
Akiingia mtu mwingine vigezo vitaangaliwa hadi unatoka nje ya mchakato.

Wachaga hawafai kupewa nafasi kama hizo.
Charles Kimei apewe wizara ya fedha , labda na watanzania tutaanza kupoke vi miamala vyetu kutoka Paypal
 
Back
Top Bottom