Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

sawa sheikh yahaya
 
WAZIRI MKUU SI FREEMAN AIKAEL MBOWE, ha ha ha nacheka huko naogopa.
 
Uwe unasoma kichwa cha habari. Nimesema hii ni tamthimini yangu na sijamfunga yoyote kusema tofauti. Mh Rais yeye ndiyo atakayekuja kuitimisha haya yote kulingana na maono yake makuu.
Acha uchochezi nani kakuuliza
 
Kama tunavyojua kuanzia leo ndio ukomo la Mawaziri. Kutokana na kuapishwa rasmi kwa Raia John Magufuli. Kinachofuata sasa ni Rais kuitisha bunge na kupeleka jina la Waziri Mkuu ambaye pasipo shaka naona Majaliwa Kassim atarudi.... Pamoja na kurudi Majaliwa, hawa watu watamsaidia sana Rais katika utendaji wake...

1. Ummy Mwalimu - abaki pale pale Afya
2. Sagini (Butiama) - aende TAMISEMI
3. Prof. Ndalichako - abaki pale pale
4. Prof. Muhongo - aende Madini
5. Dr. Kalemani - abaki pale pale
6. Mwigulu - abaki pale pale
7. Bashe - apandishwe either Kilimo au Biashara au ujenzi
8. Kabudi - abaki pale pale
9. Zungu - abaki pale pale. Naibu wake awe Mrisho Gambo
10. Dr. Kimei - Biashara au Naibu Fedha
11. Prof. Kitila Mkumbo - wizara ya Maji au Ujenzi
12. Jenista Mhagama - abaki pale pale
13. Prof. Mkenda - Maliasili

PREDICTION YA INGIZO JIPYA MANAIBU...
1. Mwambe (Masasi) former TIC DG
2. David Silinde
3. Kunambi - Former Director wa Dodoma Jiji

AMBAO WAMEFANYA KAZI KUBWA ILA UMEFIKA MUDA WA WA KUPUMNZISHWA, AS THEIR LEVEL IMEFIKA LIMIT
1. Bashungwa - Aliyekuwa Waziri wa vViwanda
2. Stela Manyanya - Aliyekuwa Naibu Viwanda
3. Juliana Shonza - Michezo
4. Kanyasu - Maliasili Naibu
5. Simar - aliyekuwa Naibu Mazingira
6. Kamwele - aliyekuwa wa Ujenzi

These will be a dream team 2020-2025!. hao niliobashiri ni wachapa kazi na wabunifu...
 
Futa wafuatao:-
2.Sagini (Butiama) - aende TAMISEMI
3. Prof. Ndalichako - abaki pale pale
4. Prof. Muhongo - aende Madini
Mwigulu - abaki pale pale
7. Bashe - apandishwe either Kilimo au Biashara au ujenzi
8. Kabudi - abaki pale pale
9. Zungu - abaki pale pale. Naibu wake awe Mrisho Gambo
ShonZa na bashungwa wapumzishwe kwa uzee upi walio nao , wamefanya kazi nzuri sana
 
Acha upumbavu wewe bwege,tumia kichwa cha chini kufikiri,wivu ni kidonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…