Napendekeza Dr. Lyabwene Mtahabwa apewe wizara ya elimu.Kama tunavyojua kuanzia leo ndio ukomo la Mawaziri. Kutokana na kuapishwa rasmi kwa Raia John Magufuli... Kinachofata sasa ni Rais kuitisha bunge na kupeleka jina la Waziri Mkuu ambaye pasipo shaka naona Majaliwa Kassim atarudi.... Pamoja na kurudi Majaliwa, hawa watu watamsaidia sana Rais katika utendaji wake...
1. Ummy Mwalimu - abaki pale pale Afya
2. Sagini (Butiama) - aende TAMISEMI
3. Prof. Ndalichako - abaki pale pale...
Na yeye ni kama CHADEMA? Wametuahidi kujenga ofisi ya makao makuu kwa miaka 25 sasa, lakini mpaka sasa hakuna hata msingi tu!Mkuu unaamjni kweli nchi hii itapaa???
Usilete uongo kama Jiwe....
Dodoma kila akija anahaidi uwanja wa michezo.
Jamaa waajabu sana.
Mwalimu Nyerere aliwahi kutuasa, 'akitokea mtu akakushauri jambo la kijinga, na wewe ukakubali ushauri wake, basi wewe ndo mjinga'Bwana yule hashauriwi... save your energy
[emoji23] [emoji23]Siyo wewe jana ulikuwa unakata kata viuno humu ukishangilia ushindi wake?saasa unakataa vipi kama na yeye akaendelea kukutumikia kwa njia nyengine?
Mnajua hata mnachokitaka kweli!!!
KubetiTarimba ni Michezo
mkuu samahani hivi afisa kipenyo ndo usalama wa taifa kwa jina lingine wanaitwa afisa kipenyoKiboko ya Zitto Kabwe Kigoma Mjini
Huyu Jamaa ni Afisa Kipenyo wa miaka mingi sana,
Akiwa Katibu wa Ccm Mkoa wa Dsm aliwahi kupambana na Mzer Mengi miaka hiyo
Pia aliwahi kutumwa kumkosesha Uenyekiti wa Mkoa Mzee Mangula
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbunge mpya na wizara mpya sioGwajima waziri wa dini
sendiga ni naniSura mpya kwenye baraza
1. Jackson Kiswaga
2. Mwana Fa
3. Msambatavangu
4. Katambi
5. Gwajiboy
6.Kimei
Wateuliwa nafasi 10
1. Makonda
2. Mwanri
3.Queen Sendiga