frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 242
Muhongo tena??? Hapo umebugi kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tetesi, mbatia anazawadiwa ubunge ktk viti kumi kisha anazawadiwa uwaziri
The House of Carda yenyeweUnaanza mambo ya frank Underwood
Jerry haiwezi dar.Nampendekeza Mueshimiwa Askofu Ngwajima Anauwezo mkubwa sana
Namuomba mueshimiwa aturudishie Makonda dar au hatuletee Jerry muro jiji letu hili linapendeza Sana likiwa na watu hao
Mwache kimei wetu Kuna kitu tumemtumaKumpa Kimei wizara ya fedha ni hatari sana kwa nchi hii.
Hawa jamaa wapo kimkakati sana,utaona wachaga wapo kila penye dili za hela na wanapata upendeleo sana.
Akiingia mtu mwingine vigezo vitaangaliwa hadi unatoka nje ya mchakato.
Wachaga hawafai kupewa nafasi kama hizo.
William lukuvi anafaa kuendelea Ardhi. Kaweka nidhamu kuleKama tunavyojua kuanzia leo ndio ukomo la Mawaziri. Kutokana na kuapishwa rasmi kwa Raia John Magufuli... Kinachofata sasa ni Rais kuitisha bunge na kupeleka jina la Waziri Mkuu ambaye pasipo shaka naona Majaliwa Kassim atarudi.... Pamoja na kurudi Majaliwa, hawa watu watamsaidia sana Rais katika utendaji wake...
1. Ummy Mwalimu - abaki pale pale Afya
2. Sagini (Butiama) - aende TAMISEMI
3. Prof. Ndalichako - abaki pale pale
4. Prof. Muhongo - aende Madini
5. Dr. Kalemani - abaki pale pale
6. Mwigulu - abaki pale pale
7. Bashe - apandishwe either Kilimo au Biashara au ujenzi
8. Kabudi - abaki pale pale
9. Zungu - abaki pale pale. Naibu wake awe Mrisho Gambo
10. Dr. Kimei - Biashara au Naibu Fedha
11. Prof. Kitila Mkumbo - wizara ya Maji au Ujenzi
12. Jenista Mhagama - abaki pale pale
13. Prof. Mkenda - Maliasili
PREDICTION YA INGIZO JIPYA MANAIBU...
1. Mwambe (Masasi) former TIC DG
2. David Silinde
3. Kunambi - Former Director wa Dodoma Jiji
AMBAO WAMEFANYA KAZI KUBWA ILA UMEFIKA MUDA WA WA KUPUMNZISHWA, AS THEIR LEVEL IMEFIKA LIMIT
1. Bashungwa - Aliyekuwa Waziri wa vViwanda
2. Stela Manyanya - Aliyekuwa Naibu Viwanda
3. Juliana Shonza - Michezo
4. Kanyasu - Maliasili Naibu
5. Simar - aliyekuwa Naibu Mazingira
6. Kamwele - aliyekuwa wa Ujenzi
These will be a dream team 2020-2025!. hao niliobashiri ni wachapa kazi na wabunifu...
Dr mpango jirani yangu pale chanika tatizo lake ni ameshindwa kubalance collected money versa internal debts payment s hivyo kusababisha pesa kukosekana kuzungushika ndani ya nchi kwa haraka kupelekea wananchi kuichukia serekali every things goes in a matter of balancing atakapo balance hili bila kuingiliwa mambo yatakuwa safi kweli kweliFedha huwezi ukamuacha Dr Mpango aliedumu kipindi chote 5yrs.
huyu jamaa anajua kuongea kweli na kupanga mistari vizuri sana napenda sana huyu abakie kama mwanaharakati kunogesha mwendoWizara ya hela au pesa apewe bashe anajuwa tumekwama wapi kiukweli jamaa anajua uchumi
Vyakupewa vina madhara sana means your bindedTetesi, Mbatia anazawadiwa ubunge katika viti kumi kisha anazawadiwa uwaziri.
Hakuna mwananchi anaeichukia serikali thus wameamua kuichagua CCM kwa kishindo na kususia maandamano ya wapinzaniDr mpango jirani yangu pale chanika tatizo lake ni ameshindwa kubalance collected money versa internal debts payment s hivyo kusababisha pesa kukosekana kuzungushika ndani ya nchi kwa haraka kupelekea wananchi kuichukia serekali every things goes in a matter of balancing atakapo balance hili bila kuingiliwa mambo yatakuwa safi kweli kweli
Wananchi walitaka kuandamana polisi wakajazwa mitaani although ni haki ya kikatiba endapo watatoa taarifa rasmiHakuna mwananchi anaeichukia serikali thus wameamua kuichagua ccm kwa kishindo na kususia maandamano ya wapinzani