Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Mkuu hashindwi kumteua lisu kushika kitengo, hana hiana mzee wa watu. Si mnamuona mzee Silaa!☺
 
Kinachofurahisha ni kwamba safari hii ni kazi kazi hakuna excuse, asilimia kubwa ya wabunge na madiwani wanatoka chama tawala na hii itawasaidia sana kwenye utendaji.

Naiona connection nzuri kati ya serikali yaani mawaziri na wawakilishi wa wananchi.

Wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wakitumia wataalamu katika sehemu zao, na wakashirikiana na wabunge na madiwani wao vizuri watamsaidia sana rais katika kutatua kero za wananchi na kuwaletea watanzania maendeleo.

Tufike mahali rais anapopita kwenye maeneo yetu tuone akipewa pongezi zaidi ya yale malalamiko ya wananchi kukosa huduma au kukosa wa kuwasikiliza.
 
Nampendekeza Mueshimiwa Askofu Ngwajima Anauwezo mkubwa sana
Namuomba mueshimiwa aturudishie Makonda dar au hatuletee Jerry muro jiji letu hili linapendeza Sana likiwa na watu hao
Jerry haiwezi dar.
 
Mwache kimei wetu Kuna kitu tumemtuma
 
hata uwe na watendaji wote unaowajua wanachapa kaziii kwa weledi na ustadi .... endapo maamuzi ya mwisho lazima yatoke kwa mmoja tu ni vigumu kuwa na mabadiliko ya kimaendeleo, na endapo kutaendelea kuwa ule utaratibu wa kutengua alichoamua waziri kila mara ..... sahauuu Tanzania uiwazayoo

fanya kazi, Tanzania ni zaidi ya tuijuavyoo
 
William lukuvi anafaa kuendelea Ardhi. Kaweka nidhamu kule
 
Fedha huwezi ukamuacha Dr Mpango aliedumu kipindi chote 5yrs.
Dr mpango jirani yangu pale chanika tatizo lake ni ameshindwa kubalance collected money versa internal debts payment s hivyo kusababisha pesa kukosekana kuzungushika ndani ya nchi kwa haraka kupelekea wananchi kuichukia serekali every things goes in a matter of balancing atakapo balance hili bila kuingiliwa mambo yatakuwa safi kweli kweli
 
Mbona Bashite na Sabaya hatuwaoni kwenye listi ya hao mawaziri,Hawa ni muhimu kuwashughulikia wapinzani, wapinzani wamekwamisha maendeleo sababu walikuwa wanakusanya Kodi Leo Tz itaizidi Ulaya majimbo yote ni CCM tutegemee kuanza kula mara 4 kwa siku toka kuwa na uhakika wa mlo mmoja.
 
Hakuna mwananchi anaeichukia serikali thus wameamua kuichagua CCM kwa kishindo na kususia maandamano ya wapinzani
 
Hakuna mwananchi anaeichukia serikali thus wameamua kuichagua ccm kwa kishindo na kususia maandamano ya wapinzani
Wananchi walitaka kuandamana polisi wakajazwa mitaani although ni haki ya kikatiba endapo watatoa taarifa rasmi

Naipongeza sana CCM, ni chama changu pendwa sana, kidumu Chama Cha Mapinduzi, zidumu Fikra za Rais wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…