Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Baraza la Mawaziri lolote litakalofuata "amri kutoka juu" za Magufuli litakuwa na matatizo.

Bila kujali uwezo wa mawaziri.
 
Safi sana. Fichua maovu. Tamisemi ni taasisi ambayo inahitaji viongozi waadilifu maana ndiyo heart of Regional and Local Governments ambako ndiko wananchi walipo. Kumbe alipokuwa demoted mpaka Kuwa RAS kumbe yapo madududu. Kwa comment yako naona atabaki kuwa mbunge.
 
Kupaa kwenda wapi?
 
Wizara aliyoongoza Ummy Mwalimu inaitwa afya, jinsia, wazee, walemavu na watoto.

Hiyo aspect ya β€˜jinsia, wazee, walemavu na watoto’ ni sehemu ya social services inayodili na mambo ya safeguarding za hayo makundi na promotion za welfare zao.

Kila kukicha mtu kachinja mke, watoto wanalawitia, mama sijui kanyan’ganywa mtoto, mimba za utotoni bado tatizo, marginalised group mahitaji yao ya msingi kupata utata, standardisation ya huduma za afya zina variation kituo kwa kituo; kila kitu ovyo.

Wanachojivunia ni kuongeza miundombinu na budget ya dawa, but that has nothing to do with outcome ya wizara nor tackling social issues.

The woman is just incompetent kuongoza hiyo wizara. Alipewa hiyo nafasi kwa sababu ata hao mamlaka ya uteuzi sidhani kama wanaelewa competent skills za kupambana na hizo changamoto nilizo taja hapo juu.

Kumuweka Ummy Mwalimu kwenye hiyo wizara ata akirudishwa ni dharau kwa hayo makundi ni sawa na kusema serikali aioni umuhimu wa kupunguza hizo changamoto.

Basically baraza la mawaziri lililopita mawaziri waliojitahidi kwa upande wangu walikuwa Jaffo, Biteko na kwa mbali Bashe (Hila huyu ni tatizo anafahamu vitu juu juu tu hiko siku mapendekezo yake yatawatokea puani) tayari washaona kwenye pamba upuuzi wake wa price floor serikali ilibidi ifanye u turn wenyewe nakurudi kwenye bei za soko.
 
Mambo ya nje awe January Makamba ,
 
Sasa stroke ndio nini hivyo kuwakumbusha wenzio maumivu!? utasababisha watu wakimbie ID zao 😁😁😁
Kuna mtu aliwahi niambia kuwa ;

"Kuwa makini Sana unapoandika jambo lolote kwani maandishi huwa yanaishi."

Sasa jamaa kajiandikia mambo yake halafu keshasahau alichokifanya.
 
una uhakika
 
yule wa elimu asirudishwe pale la sivyo iyo wizara igawanywe na yeye apewe elimu ya juu.Ni msomi mzuri katika taaluma ya ualimu ila hakuonesha ubunifu katika kuboresha elimu.Wanafunzi wanahitimu, hasa ngazi za chini za elimu wakiwa hawana uwezo wa kuajiriwa au kujiajiri wanabaki tegemezi kwa wazazi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…