Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

ubunifu wa wizara mpya ni muhimu,wizara ya mahusiano ya jamii,amani na mshikamano wa kitaifa apewe Askofu Josephat Gwajima,ni msomi wa mambo ya dini na imani atalisaidia taifa dhidi ya mmomonyoko wa maadili katika jamii
 
Philip Mpango hana mpinzani, kuifikisha nchi uchumi wa kati ni credit tosha ya kumrudisha fedha.Pia kumuondoa vyombo vya fedha vya kimataifa vitaonyesha kutokuridhishwa na mabadiliko na inaweza kupunguza confidence kwa sera zilizopo.Mpango ni tegemeo kwa sasa
 
ubunifu wa wizara mpya ni muhimu,wizara ya mahusiano ya jamii,amani na mshikamano wa kitaifa apewe Askofu Josephat Gwajima,ni msomi wa mambo ya dini na imani atalisaidia taifa dhidi ya mmomonyoko wa maadili katika jamii
Huyu jamaa i cant categorise her at all HE SHOULD CHOOSE ONE KUITUMIKIA DUNIA AU KUMTUMIKIA MUNGU MUNGU THE OMNI PONENT SIYO WA UTANI UTANI AS WE JOKES
 
Kimei awekwe uwekezaji ili asimamie vizuri implementation ya business BLUE PRINT na asaidiwe na Angel Kariuki
 
Cccm na polinsi
 
Kura yako ya tarehe 28 Oktoba 2020 ulimpa Rais Dk. Magufuli au kwa wale Wanaopoteza muda kila wakati wa Uchaguzi Mkuu wa hapa Tanzania?
 
Nampendekeza Mueshimiwa Askofu Ngwajima Anauwezo mkubwa sana
Namuomba muheshimiwa aturudishie Makonda Dar au hatuletee Jerry muro jiji letu hili linapendeza Sana likiwa na watu hao
Mkuu itapendeza sana Ole Sabaya akiteuliwa kuwa mkuu wa mkoa DSM.

Kwa kuwa Makonda ni more senior aende Jiji la Dodoma kuwa mkuu wa mkoa.
 
Total wrong
Muhongo huwezi kukuona
Kamwele yule ni mpiga dili kama wengne hivyo lazima awepo
 
Mkuu wewe si uliandika uzi hapa kuwa hutamchagua Magufuli kwakua kaharibu private sector sasa unampangia serikali ili iweje??

Acha unafiki mkuu.
nilikuwa mafikisha ujumbe namna private sector ilivyokufa. hivyo kipindi chake cha pili aanze na kufufua private sector
 
nilikuwa mafikisha ujumbe namna private sector ilivyokufa. hivyo kipindi chake cha pili aanze na kufufua private sector
mkuu Kuna watu hawajui reality and fact ... hivyo hivyo hawapendi kuambiwa ukweli na wasichokijua ... thanks
 
Naunga mkono hoja Bashe apandishwe,yule bosi wake atolewe pale...
 
unajua kama cabinet linashauriwa na magu badala ya magu kushauriwa na cabinet. ukilijua hili hutopoteza muda
 
Waziri wa fedha lusinde,naibu fedha na mipango msukuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…