Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Bashite -Waziri Mkuu
Gambo -Wizara ya Ulinzi
Queen Sendiga-Anapewa wilaya
Joketi-Mbunge wa kuteuliwa halafu analamba unaibu waziri
Sabaya-mkuu wa mkoa
 
Nampendekeza Mueshimiwa Askofu Ngwajima Anauwezo mkubwa sana
Namuomba muheshimiwa aturudishie Makonda Dar au hatuletee Jerry muro jiji letu hili linapendeza Sana likiwa na watu hao
Makonda Dar sawa; Jerry atulie palepale kwenye ileee miradi bomba anayoipaisha. "Milioni 900 itapendeza!"
 
Wazee kama akina Manyanya ,Mkuchika, Jenista, kuwarudisha tena ni kupoteza muda , tunataka vijana. Damu mpya. Hawa wazee wakapumzike sasa
Vijana wegi wana ulimbukeni mwingi sana na wanaharibu sana kazi nadhani wazee waendelee kuwekwa hasa kwa sehemu nyeti zinazo guza jamii kwa upana zaid
 
Vijana wegi wana ulimbukeni mwingi sana na wanaharibu sana kazi nadhani wazee waendelee kuwekwa hasa kwa sehemu nyeti zinazo guza jamii kwa upana zaid
2015 - 2020: Vijana wapewe kipaumbele ili kuibua & kukuza vipaji vipya, kujenga umoja na imani yao na kuleta ushindani

2020 - 2025: Vijana wasipewe fursa; wana ulimbukeni mwingi sana na wanaharibu sana kazi; naadhani wazee waendelee kuwekwa, hasa kwa sehemu nyeti zinazogusa jamii kwa upana zaidi

????
 
Hapana vijana walio pewa kwa majaribio wameharibu sana vijana wasipewe hata kidogo
 
In short, muhula huu TOCHI YA USTAWI, MAENDELEO & FANAKA INAWAKA MNG'AO WA ENEJI YA "NYUKI-WANALIA." Magunzi yote out!!!
 
Kwa propaganda hizi dufu za utahajasimu (pessimism), si ajabu mmeshindwa uchaguzi kila msimu wa uchaguzi
 
Mkuu unaamjni kweli nchi hii itapaa???

Usilete uongo kama Jiwe....

Dodoma kila akija anahaidi uwanja wa michezo.
Jamaa waajabu sana.
Wewe ndio wa ajabu. acha watu watoe maoni ya kuipaisha nchi yao. Kama vipi nenda ubalozini ukafungiwe chumbani na mwenzako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] taifa la wajinga bwana nchi inapaa kwa mipango au Ina paa kwa prediction zako za Baraza la wajinga?
 
Hapana vijana walio pewa kwa majaribio wameharibu sana vijana wasipewe hata kidogo
Najua maana yake. Adui ama mpinzani wako akikusifu, jiulize mara mbili2 umekosea wapi; akikukosoa, nenda kasherehekee na wala usibadili welekeo na kasi na mbinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…