tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Labda awe meneja wa tripple 7fred lowassa viwanda na biashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda awe meneja wa tripple 7fred lowassa viwanda na biashara
Sawia kwa asilimia 100%👍Matamanio yangu mimi nikama ifuatavyo:
Philip Mpango - Waziri wa Fedha & Mipango...
'Kuburudisha' wazeeBinafsi Shonza sijawahi kuelewa anafanya nini
Spika atakua yule mwanamke. Acha Ndughai aendelee kujipendekeza Ila uspika atausikia kwenye redio1. Jerry Muro atateuliwa ubunge na kuukwaa uwaziri!
2. Julius Mtatiro
3. Antony Mtaka
Huyu apewe wizara ya madini.Deo Mwanyika.
Acha utani Mkuu vyama vingi vimeanza lini,mlikuwa madarakani tangu uhuru mpaka leo kwenye kampeni bado mnahubiri Barabara , Sijui Madawati mara Maji kweli ..?nenda Dodoma tu hapo kwa Ndugai uone umaskini wa wapiga kura wake ulivyotamalaki.Sababu wapinzani walikuwa wanapinga maendeleo. Sasa basi!
Labda wataiwekea mabawa...🧐🧐Kupaa kwenda wapi?
Kama tunavyojua kuanzia leo ndio ukomo la Mawaziri. Kutokana na kuapishwa rasmi kwa Raia John Magufuli. Kinachofuata sasa ni Rais kuitisha bunge na kupeleka jina la Waziri Mkuu ambaye pasipo shaka naona Majaliwa Kassim atarudi.... Pamoja na kurudi Majaliwa, hawa watu watamsaidia sana Rais katika utendaji wake..
Kamwe usichanganye habari ya zilipendwa na hii Tanzania mpya ya JPM. Ndiyo maana tuliwaambieni mapema kabla hata ya uchaguzi mjipange bcz yeye hana utani wala muwali, mkaishia kutubeza na kutuita misukule ya Lumumba baada ya kuhadaliwa na ile nyomi bandia ya kuediti. Huko unakozungumzia tumetoka kabisa, na wala hatutakaa tufikirie kurudi tena.Acha utani Mkuu vyama vingi vimeanza lini,mlikuwa madarakani tangu uhuru mpaka leo kwenye kampeni bado mnahubiri Barabara , Sijui Madawati mara Maji kweli ..?nenda Dodoma tu hapo kwa Ndugai uone umaskini wa wapiga kura wake ulivyotamalaki.
Hawajui miaka ya kuishi ni mifupi sana wana kubali kufa na kuzeeka wakiwa wana jidanganya😂😂😂 labda ipae na Bombardier
Hii ya kwenda Birmingham imekaajekaaje mbona sielewi ilichipukia wapi, nani aliyetoa promise hiyo?Uwaziri watajuana wenyewe,kama mkazi wa kawe tayari nipo kwenye list ya kwenda Bamingam.
Humjui vizuri wewe, alishawafelisha na alipopewa ushahidi akasema ni kompyuta ndio ilikosea, baadae akapita nao udo
Majaliwa atakuwa backbencher safari hii. Kumbukeni mambo ya korosho na tishio la kupigiwa hadi shangazi zake. Haikuishia pale.1. Charles Kinei - Atapewa uwaziri Fedha/Mipango.
2. Mrisho Gambo - Atapewa wizara ya mambo ya ndani.
3. Hussein Bashe - Atapanda na kuwa waziri kamili Kilimo/Mifugo...