Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Baada ya Magufuli na Samia kuapishwa kipindi cha pili cha uongozi wa miaka mitano. Hawa ndio mawaziri watarajiwa na wizara husika.
1. Waziri mkuu: Kasim Majaliwa
2. Fedha na Mipango: Philip Mpango...
Mkuchika apumzike jamani halafu Utalii ni Dr Mkenda
 
Tuambie Wasukuma watakuwa kwa asilimia ngapi?
 
Upo uwezekano Charles Kimei akapewa hiyo nafasi ya Biteko, huyu bado ni mdogo sana kwenye sekta ya fedha kumlinganisha na Kimei.
 
Kipindi kile Lissu akiwa anagombe tulishaandaa mpaka Baraza la Mawaziri sasa nashangaa sasa hivi hatu brainstorm baraza la Mawaziri wa JPM baada ya kumpata PM, Finance and Foreign. Ingekuwa mimi ningepanga hivi.

1. Viwanda na Biashara - Prof Mkenda - He is economist na pia is a cool guy

2. Maliasili na Utalii - Jaffo - Hii wizara inahitaji mtu mkali na mfuatiliaji "hands on eyes on"

3. Tamisemi - Pro Mkumbo - Wizara inahitaji mtu wa research na mtu waku analyse mambo

4. Uwekezaji - Dr Kimei - Anaelewa nini maana ya uwekezaji na maana ya FDI's

5. Mambo ya Ndani - Mrisho Gambo - Ana uzoefu waku deal na matukio alioupata Arusha akiwa RC

6. Madini - Dotto Biteko - Kaimudu

7. Afya - Umi Mwalimu - Hajaimudu sana ila anajuwa pakuanzia

8. Utawala bora - Lukuvi - He is matured and experienced enough to run this docket

9. Michezo - Mwana FA - Ana uwezo wa kusimamia policies

10. Kilimo na Mifugo - Mwingulu Nchemba - Anajuwa kufanya research

11. Muungano - January Makamba - Ana uwezo wa ku harmonize na ametulia na anapenda results

12. Miundo mbinu - Prof Makame Mbarawa - kaimudu

13. Ujenzi - Eng Kamwele - Kaimudu aende kumalizia those mega projects

14. Mawasiliano - Innocent Bashungwa - Ni kijana msomi and exposed ataendana na technology

15. Sera na Bunge - Jenista Mhagama - Kaimudu

16. Katiba na Sheria - Lalasha - Ni mwanasheria na analytical

17. Ulinzi - Bado sijapata mtu

18. Elimu - Bado sijapata mtu
 
Wasimuache na Mbunge Msukuma na Kibajaji kwny baraza la mawaziri.
 
Duh, umevuruga mbaya Lukuvi arudi Kule kule Jaffo pia Kila mtu warudi Kule kule tusianze upya
 
Nimependa hili baraza lako la mawaziri.Nafikri umemrahisishia sana Rais Kazi
 
Prof. Ndalichako anarudi kwenye Baraza
Hana jipya huyu Mama.MOE inahitaji mtu anayeelewa elimu ya karne ya 21 na sio elimu ya kikoloni.Bora hii wizara nikapewa hata mimi ila Ndalichako hapana.Nitashangaa sana kama watamrudisha kwenye hii wizara.Nitashangaa sana.
 
Back
Top Bottom