Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Na kula ruzuku yetu milioni 300 kila mwezi na kuishtaki serikali inyimwe mikopo WB
 
Acha utani wewe, wameshindwa miaka zaidi ya 60 ya uhuru ije kuwa leo.

Watu wengine uwa mnajifariji sana.

Eti nchi itapaa nenda huko Sangakurunyese uone wananchi wanavyotaabika kwa mlo mmoja na shida kubwa ya Maji safi,Maradhi,Umaskini na Ujinga.
Sababu wapinzani walikuwa wanapinga maendeleo. Sasa basi!
 
Takwimu
Takwimu ziko wapi? (Speak with facts!)
 
Bila Dr.mpango na lukuvi hapo list yako haina maana
 
SAASHISHA MAFUWE awepo kama naibu waziri kwa sababu kaangusha mbuyu Mbowe.
 
Hao ndo wakushukuriwa.
Pamoja na NEC NA ZEC.
sio ballot box.
No polisi,no ccm.View attachment 1621232
"Tunduma, mpooo? Pipooz! Pipooz! Pipooz! Mwaka huu tutashinda, na lazima watutangaze! Tutashinda na Tume ya Uchaguzi hiihii. Wasipotutangaza, nitawaingiza wananchi barabarani." ~ Mr Mzungu

"Ninyi kapigeni kura; halafu kazi ya kuzilinda niachieni mimi, sawa?"
~ GBL, Arusha Mjini.

IMPLICATION: Wapinzani wameshindwa Uchaguzi Mkuu KIHALALI.
 
In short, muhula huu TOCHI YA USTAWI, MAENDELEO & FANAKA INAWAKA MNG'AO WA ENEJI YA "NYUKI-WANALIA"!!!

Sauti ya wanyonge itasikika, watumishi watawatendea haki kwa muda na viwango vinavyotakiwa
Mungu ambariki rais na wasaidizi wake wote, Mungu ibariki Tanzania🙏
 
Sana, kabla ya kuandika lolote inakupasa kufikiri, kufikia muafaka na kuwa tayari kwa madhara yatokanayo na andiko lako.
Kama ndiyo hivi, siwashangai sana hawa vijana wa Mr Mzungu kupoteza kila kitu kwenye uchaguzi maana walimezeshwa ghiliba na hadaa za mwanasheria wao, mara "Liinchi gani, halina hata ndege moja!" Mara "Midege ya nini, sisi tunataka pesa mifukoni!" Kwa mtu azamaye majini, chochote kieleacho juu ya maji, hata mawimbi yenyewe, kwake huonekana nanga ya kujiokolea.
 
Ndo mkaamua kuiba kura?
 
Hivi kwa standard za tume ya taifa au za kimataifa, kipengele kwa kipengele, uchaguzi ulikuwa wa haki? Watanzania wameona. Kuwa Kimya siyo kwamba kulikuwa na haki
 
Takwimu

Takwimu ziko wapi? (Speak with facts!)
Hizo credible stats utazitoa wapi wakati wizara yenyewe aihamasishi watu ku report domestic physical abuses sana matatizo yakitokea watu wanayamaliza kwa utamaduni wa vikao vya familia, matokeo yake unakuta binti anaishi kwenye abusive marriage mpaka siku mumewe atakapo mtoa uhai.

Kwenye hizo incidents chache zinazoripitiwa polisi udhani kama NBS wana utaratibu kukusanya data za domestic abuse cases kutoka polisi, wala hospitalini (hawa kwanza ata sijui kama wana utaratibu wa ku record stats watu wanaofika kwao kisa vipigo vya nyumbani na ku share hizo data na wizara ziwasaidie kwenye policy making ) hao ustawi wa jamii ndio kabisa sijui kama wanaushirikiano wowote NBS.

Kilichobaki ni observation tu za frequency ya domestic violence and other forms of abuse at the final end mtu keshauliwa, mtoto keshalawitiwa, bibi keshachinjwa; kibaya zaidi inaonyesha watu bado hawana woga. Source zingine za dat ni studies kama hizo za UN but the are at small scale they don’t provide the extent of the problem https://evaw-global-database.unwomen.org/en/countries/africa/united-republic-of-tanzania lakini takwimu za maana Tanzania zitokee wapi.

Ni hivi hiyo wizara Ummy Mwalimu sio size yake, she wouldn’t know where to start jinsi ya kupambana na hizo issues. Ni dharau kumrudisha kwenye hiyo wizara considering the frequency of abuse reported everyday on social media’s maana ata mainstream media awajali sana.

The whole thing is appalling.
 
Fred Lowassa viwanda na biashara
 
Ndo mkaamua kuiba kura?
Kazi nzuri za JPM za ustawi, maendeleo na fanaka kwa wananchi ndiyo siri ya imani kubwa ya wananchi kwake na ushindi mnono. Hiyo ndiyo siri ya mafanikio yake makubwa. Sera mbovu na namna ya kuziwasilisha ndivyo vimewaangusheni vibaya. Msimtafute mchawi mwingine.
 
Sauti ya wanyonge itasikika, watumishi watawatendea haki kwa muda na viwango vinavyotakiwa
Mungu ambariki rais na wasaidizi wake wote, Mungu ibariki Tanzania[emoji120]
Spana na grease mtatumia sana,ngoma ni ileile hakuna jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…