Kipindi kile Lissu akiwa anagombe tulishaandaa mpaka Baraza la Mawaziri sasa nashangaa sasa hivi hatu brainstorm baraza la Mawaziri wa JPM baada ya kumpata PM, Finance and Foreign. Ingekuwa mimi ningepanga hivi.
1. Viwanda na Biashara - Prof Mkenda - He is economist na pia is a cool guy
2. Maliasili na Utalii - Jaffo - Hii wizara inahitaji mtu mkali na mfuatiliaji "hands on eyes on"
3. Tamisemi - Pro Mkumbo - Wizara inahitaji mtu wa research na mtu waku analyse mambo
4. Uwekezaji - Dr Kimei - Anaelewa nini maana ya uwekezaji na maana ya FDI's
5. Mambo ya Ndani - Mrisho Gambo - Ana uzoefu waku deal na matukio alioupata Arusha akiwa RC
6. Madini - Dotto Biteko - Kaimudu
7. Afya - Umi Mwalimu - Hajaimudu sana ila anajuwa pakuanzia
8. Utawala bora - Lukuvi - He is matured and experienced enough to run this docket
9. Michezo - Mwana FA - Ana uwezo wa kusimamia policies
10. Kilimo na Mifugo - Mwingulu Nchemba - Anajuwa kufanya research
11. Muungano - January Makamba - Ana uwezo wa ku harmonize na ametulia na anapenda results
12. Miundo mbinu - Prof Makame Mbarawa - kaimudu
13. Ujenzi - Eng Kamwele - Kaimudu aende kumalizia those mega projects
14. Mawasiliano - Innocent Bashungwa - Ni kijana msomi and exposed ataendana na technology
15. Sera na Bunge - Jenista Mhagama - Kaimudu
16. Katiba na Sheria - Lalasha - Ni mwanasheria na analytical
17. Ulinzi - Bado sijapata mtu
18. Elimu - Bado sijapata mtu