Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

1. Charles Kinei - Atapewa uwaziri Fedha/Mipango.
2. Mrisho Gambo - Atapewa wizara ya mambo ya ndani.
3. Hussein Bashe - Atapanda na kuwa waziri kamili Kilimo/Mifugo.
4. Ndalichako - Anarudikua Elimu.
5. Ummy - Atabakia wizara ya Afya.
6. Kalemani - Anabaki nishati.
7. Dotto Biteko - Anabaki madini.
8. Mwanry (X-RC Tabora) namuona akateuliwa kwenye nafasi ya ubunge na atapewa wizara.
9. Paul Makonda - Ni mmoja kati ya vijana watakao teuliwa na kisha kupewa unaibu waziri (mambo ya ndani).
10. Majaliwa Kasim - PM naona akibaki kwenye nafasi yake, sababu ni alionekana mtiifu na msikivu sana kwa mh Rais. Na kwenye utendaji hakukaa ofisini kabisa.
11...........
12..............
13................
Nitaendelea badae
 
Ongeza Sagini Jumanne na Geoffrey Mwambe.
Mkuu #2 si nasikia Lema hajaridhika na matokeo ya wapiga kura, sasa atapewa uwaziri huku akihangaikia kesi ya matokeo au ni majungu tu kufukuta?
 
Poleni Sana na nchi yenu ya UTOPOLO
Vumbi litaongezeka na Vyuma vitakaza sio mchezo
 
Yaaani Charles Kimei amtoe Philip Mpango? Mnachekesha

Unless Mpango awe ndio PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…