Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

Eric Shigongo wizara ya habari na utamaduni itamfaa sana huyu mwamba
 
Kanda ya ziwa, tengemea Niko mawaziri wanakotokea. Ukabila Kwanza baada ya wizi wa kura
 
Walioshinda ni CCM tu. Huko kusema ni Watz wote ni kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Mkuu natamani sana kupata elimu kuhusu hili kama hutajali.
 
Kwa hiyo waziri mkuu hakuna?
 
Maboto kutoka Bunda akikosa uwaziri nitajua uchawi upo.. Yule amewashinda wasomi pekee nchi hii wa BOT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…