Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

paul makonda ateuliwe mbunge na rais kisha apewe wizara ya mambo ya ndani.
 
Saashisha Apewe Madini Alaf Biteko Apewe Maliasili na Utalii Yule Mchonga Ngenga wa Simba Adhabu yake Awe Naibu (W) Afya Mana Huko Ndio Taaluma yake..Alaf Kimei Awe Fedha na Mipango..Dkt.Phillip Mpango Apumzishwe majukumu awe naibu wake..

Ova Ova Ova..
Alaf veep Khsu Ole Sabaya yule kamati ya roho mbaya iliyotumwa kumtoa Mbowe pale Hai Tumweke wap?..
 
Nashauri kwe hivi
  • Mpango - waziri wa fedha, naibu awe kimei
  • Gambo - waziri wa mambo ya ndani, naibu awe Makonda
  • Biteko - waziri wa madini, naibu awe mwanyika
  • Mbowe awe mume halali wa joyce mukya
 
Msukuma pia weka hapo kwenye Sheria na Katiba.
 

Akiteuliwa makonda basi mjue sera ya kuteka, kupiga watu risasi na kuua watu itaendelezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…