maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 935
- 2,096
Awesu hatari sana since yupo KMC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mukoko Tonombe juzi amekaririwa Wasafi Fm akisema inapofika mechi ya Simba vs Yanga viongozi wanawaambia mechi hiyo ni yao viongozi, wao wachezaji wa relax.Alikuwa anamaanisha nn? Mechi ya simba vs yanga ni ya ushirikina t hamna lolote labda umeingia leo kujua soka la bongoMada yako ni nzuri sana tu. Maana inaongelea tathmini ya timu yako baada ya mechi. Udhaifu ni hapo mwishoni tu ulipo ihusisha Yanga na viongozi. Umeonesha dalili ya hofu iliyopitiliza.
Ni kweli wapewe muda kujenga timu. Inatakiwa wana simba mkubali hilo kupoteza mwaka huu kwa ajili ya misimu ijayo. Kuweni wapole tu.Kama tutamantain kukaa na hawa wachezaji kwa miaka at least miwili, timu ikashikana, tutakuwa na timu hatari sana si kwa Tanzania tu bali hata kwenye michuano ya kimataifa pia
Hamchelewi kuanza kusingizia Bahasha na kulaumiana mkila mkono wa nyani tena. Nyie jidanganyeni na jifarijini tu.13. Mzamiru ni mmoja wa wachezaji ambao wapo Simba kwa bahati na si uwezo.
14. Kelvin Kijiri ni kipimo sahihi cha umri wa Boka anayedai kuwa na miaka 20 hiyo tarehe 8.
15. Gamondi alifuta na kuchana NOTES na HINTS alizoandika KIPINDI CHA KWANZA baada ya FERANANDEZ na Okajepha kuingia.
Balua,, toa Awesu1. Camara
2. Kijili
3 Nouma
4. Che Maloune
5. Chamou
6. Okejepha
7. Mutale
8. Mavambo
9. Mukwala
10. Ahoua
11. Awesu
Ngoma yupo slow kwenye nyanja ipi..Ngoma aanzie bench, ni slow halaf anakaa na mpira team ikiwa iko on the move, umeana vile debrah na augustine wana overlap kwa speed, that how inatakiwa. Simba haihitaji kiungo slow na predictable