Tatizo bday ya nillan vinywaji viliisha mapema

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863

Mafikizolo alikuwepo na tingdis alikuwepo tatizo zari ali alika watu wengi mno ila mondi kanunua pombe chache mno ndo kisa watu kusepa mapema na kuwaacha wamatumbi wa wcb pekeyao.
 
Ni nani kwenye hii tanzania ya viwonder?
 
Aiseeeee.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
 

Mafikizolo alikuwepo na tingdis alikuwepo tatizo zari ali alika watu wengi mno ila mondi kanunua pombe chache mno ndo kisa watu kusepa mapema na kuwaacha wamatumbi wa wcb pekeyao.


Kwani ilikua birthday ya mtoto au harusi?
 
Yani diamond na zari mambo yao yako Off set wakati mwingine[emoji23][emoji23]..
sasa kisa cha kufufua birthday kipo wapi? au ndio yale madongo ya mke mwenza...na kubuma kwa white party kwahiyo wameamua kuja kushow off south[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hawa watu wajitambue sasa kuwa wanazidi kuchokwa
 

Duh itakua nimezeeka ila nalazimisha kua kijana,samahani unamaanisha nini kusema "wamefufua b'day ya mtoto wao"
 


Yaani watu wafanye mambo yao nyumbani kwao wewe uwachoke? Kwanini usitafute kazi ya kufanya?
 
Uliona ni busara BDay ya mtoto, watu walewe tilalila tena mchana kweupe...!?
 
Bday ya mtoto walikwa watu wazima na pombe juu....
 
Wanaendeleza white party baada ya Mobeto kumfrustrate Bi.Zari ndani ya Uganda alipozaliwa.
 
Yaani kabisa unaamini kwamba Zari White Party ilibuma?! Btw, how unadai "wamefufua" birthday eti kwa ajili ya Hamisa wakati Zari mwenyewe alishawahi kuelezea suala la ku-postpone birthday about 10 days b4 Zari White Party!
 
Tatizo unawafuatilia, wakiandika kitu chochote kwenye social media nani anakulazimisha kusoma?
Siwezi kuacha kusoma vitu vinavyo pop up kwenye suggest list na siwezi kuacha kutumia social networks kisa watu fulani Penye ukweli tunasema
Tatizo unawafuatilia, wakiandika kitu chochote kwenye social media nani anakulazimisha kusoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…