Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
![]()
![]()
Mafikizolo alikuwepo na tingdis alikuwepo tatizo zari ali alika watu wengi mno ila mondi kanunua pombe chache mno ndo kisa watu kusepa mapema na kuwaacha wamatumbi wa wcb pekeyao.
Yani diamond na zari mambo yao yako Off set wakati mwingine[emoji23][emoji23]..
sasa kisa cha kufufua birthday kipo wapi? au ndio yale madongo ya mke mwenza...na kubuma kwa white party kwahiyo wameamua kuja kushow off south[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hawa watu wajitambue sasa kuwa wanazidi kuchokwa

Yaani?Poo
Yaani watu wafanye mambo yao nyumbani kwao wewe uwachoke? Kwanini usitafute kazi ya kufanya?
Tunawachoka kwani si wanafanya mambo kwa ajili ya social media au?Yaani watu wafanye mambo yao nyumbani kwao wewe uwachoke? Kwanini usitafute kazi ya kufanya?
ilishapitagaDuh itakua nimezeeka ila nalazimisha kua kijana,samahani unamaanisha nini kusema "wamefufua b'day ya mtoto wao"
ilishapitaga
Tunawachoka kwani si wanafanya mambo kwa ajili ya social media au?
ww unadhani wangekua wanafanya kama ww na wenzio nyumbani kimya kimya wangeongelewa?
Wanaendeleza white party baada ya Mobeto kumfrustrate Bi.Zari ndani ya Uganda alipozaliwa.Yani diamond na zari mambo yao yako Off set wakati mwingine[emoji23][emoji23]..
sasa kisa cha kufufua birthday kipo wapi? au ndio yale madongo ya mke mwenza...na kubuma kwa white party kwahiyo wameamua kuja kushow off south[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hawa watu wajitambue sasa kuwa wanazidi kuchokwa
Yaani kabisa unaamini kwamba Zari White Party ilibuma?! Btw, how unadai "wamefufua" birthday eti kwa ajili ya Hamisa wakati Zari mwenyewe alishawahi kuelezea suala la ku-postpone birthday about 10 days b4 Zari White Party!Yani diamond na zari mambo yao yako Off set wakati mwingine[emoji23][emoji23]..
sasa kisa cha kufufua birthday kipo wapi? au ndio yale madongo ya mke mwenza...na kubuma kwa white party kwahiyo wameamua kuja kushow off south[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hawa watu wajitambue sasa kuwa wanazidi kuchokwa
Siwezi kuacha kusoma vitu vinavyo pop up kwenye suggest list na siwezi kuacha kutumia social networks kisa watu fulani Penye ukweli tunasemaTatizo unawafuatilia, wakiandika kitu chochote kwenye social media nani anakulazimisha kusoma?
Tatizo unawafuatilia, wakiandika kitu chochote kwenye social media nani anakulazimisha kusoma?