Tatizo common kwenye engine za BMW

Kuwa specific, Range Rover na Jaguar zote zinatumia BMW engine, hata hii Range Rover ya sasa hivi new Model inatumia BMW engine, Rolls Royce pia inatumia BMW engines, Mini zinatumia BMW engines, sasa hilo tatizo common kwa engine ipi ya BMW?

BMW wanaunda engines aina mbali mbali, kusema tu kwamba hili ni tatizo common kwa BMW engines haitoshi, ulipaswa useme Engine x y z ya BMW ina tatizo hili!
 
Umeanzisha vita na Wajerumani weusi...
Wakikupiga me sipo..[emoji2960][emoji2960]

Mkuu kila gari lazima inakuwa na tatizo ambalo ni common.

Ukifuatilia utajua.

Mfano Audi engine zilizo nyingi za 2000 mpaka 2010 zina shida kwenye tensioner za timing chain. Hivyo ikianza kuzingua usiponotice kuna siku utaua engine timing chain itakaporuka.
 

Shida hizo pump zinakuwa na plastic case kwa huku mbele naona hicho ndio kitu watu wengi wanacomplain kwamba with time huwa inaanza kuvuja. Kwenye baadhi ya engine hiyo pampu huko ilikofichwa ni kisanga.

Ila anyway ukiwa unafanya preventive maintanance ya kubadili hiyo pump kila baada ya 120k mpaka 150k haitokuwa shida kabisa.
 
Ni magereza ya ufahari kweli. Ila watu wana reason kuyanunua. Kuna kitu extra wanapata kuliko kutoka point A kwenda point B
Kuna siku nilienda kukopa taasisis flani binafsi ya mikopo na gari flani ya Europe.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wakanipa mdada aje kuni access tukatumia gari.. mtoto kuingia hoi 😁😁 kanaanza kusema toka nimezaliwa ndio leo nimepanda gari hii... alafu mie nipo cool tu kama mtu wa maana... kulikuwa na bonge la movie 😎😎😎.. aache kufanisha mikangafu na gari
 
Ndo maana nikasema usumbufu mwingine kama ulikuwepo.

Ila anyway Benz sijasikiasikia sana story zake. Labda wenye experience watupe mrejesho.
sasa hivi utapa experience zake sio kwa kuzagaa kwa C200 kompressor.. kushinda crown.. hazipiti gari kumi bila kompressor kuwepo πŸ˜€πŸ˜€
 

Ninezungumzia BMW zenye electric water pump. Matoleo mengi ya kuanzia 2000 kuja juu waliachana na hizo pump za mechanical.

Kwenye Range Rover ondoa engine ya M51 ambayo imefungwa kwenye P38.

Kuanzia L322 ukiikuta ina engine ya BMW basi ina electric water pump. So far nimegusia tu kwenye gari za BMW sanasana. Range Rover namzungumzia sababu hatumii engine pekee kutoka BMW anatumia spare zake nyingi sana mpaka relays n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…