JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Kuna tatizo moja common kwenye engine za BMW.
Kama ukiomba ushauri kwa mtu ambaye amecome across na hizo gari wengi moja ya sababu ambayo atakupa kama sababu ya wewe kuacha kununua hilo gari ni hii…
"Achana na hizo gari zinachemsha sana"
Ni kweli kabisa gari za BMW zinachemsha, Ndio maana siyo kitu cha ajabu ukitembea hapa mjini ukakutana na BMW mtu amepaki pembeni ya barabara na akafungua Bonet.
Na kama zingekuwa nyingi hapa mjini kama toyota basi hicho kitu watu wangekiexperience sana.
Kama mimi mtu akiniomba ushauri anataka kununua BMW used nitamshauri kitu kimoja tu abadilishe water pump.
Engine nyingi BMW zinakuja na Water pump za Umeme. Na watu wengi ambao BMW zinawachemshia sababu kwa asilimia nyingi huwa ni hiyo water pump kuchoka.
Around 120,000Km badili water pump. Japo ni gharama lakini utatembelea sana kabla ya kubadili tena.
Siyo kitu cha ajabu hata kutoa milioni kununua hiyo pump.