James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Shida Ina weza kuwa hapa lakini uwe imara usivutwe na nyakati zilipita. Pambana kiroho pia. Maombezi ktk makanisa ni bure. Haitakukost pesa kuamini Mungu anaweza huku ukiendelea na taratibu za kitabibu.Asante, tupo vizuri japo uchumi sometimes unakuwa na shida vita vinatokea,sasa hapo sijui ni vizuri au vibaya? kwetu hakuna shida ila kwa mama sijui si unajua wanafichaga japo nimechunguza kama kuna bibi yao mzaa mama alikuwa na shida kama hiyo na alishapotea porini ninavyosikia
Kwa hiyo tatizo la kurithi... jama yako wana mila za mizimu au wana familia za kutuhumiana uchawi?Asante, tupo vizuri japo uchumi sometimes unakuwa na shida vita vinatokea,sasa hapo sijui ni vizuri au vibaya? kwetu hakuna shida ila kwa mama sijui si unajua wanafichaga japo nimechunguza kama kuna bibi yao mzaa mama alikuwa na shida kama hiyo na alishapotea porini ninavyosikia
Kwa uchawi sijui ila marehemu baba mkwe alikuwa mganga sasa nao hawana hakika kama ilikuwa kweli au usanii, nilipoenda mara ya kwanza kijijini kwao waliniambia kuwa makini husitoe pesa hovyo kuna wachawi so sikufuatilia sana, na huyu mtoto alikwenda kijijini akiwa na miezi 6 mama yake alimpeleka sehemu kumchanja bila kumwambia mke wangu,yaani alimbeba na kutokomea naye wakati mke wangu amelala asubuhiKwa hiyo tatizo la kurithi... jama yako wana mila za mizimu au wana familia za kutuhumiana uchawi?
Mkeo kabila gani? Mtu wa kusini?Kwa uchawi sijui ila marehemu baba mkwe alikuwa mganga sasa nao hawana hakika kama ilikuwa kweli au usanii, nilipoenda mara ya kwanza kijijini kwao waliniambia kuwa makini husitoe pesa hovyo kuna wachawi so sikufuatilia sana, na huyu mtoto alikwenda kijijini akiwa na miezi 6 mama yake alimpeleka sehemu kumchanja bila kumwambia mke wangu,yaani alimbeba na kutokomea naye wakati mke wangu amelala asubuhi
I can feel your pain😔😔😔Asante, wataalaam zaidi ya muhimbili ni wapi kama utanisaidia nitashukuru maana hata shuleni wamenipa Pole na wanasema nizunguke makanisani na endapo wataona hali inazidi kuwa mbaya watamfukuza shule tu
Mchaga ,kirua japo kalelewa na bibi old moshiMkeo kabila gani? Mtu wa kusini?
Duh nadhan shida ilianzia hapa. Aseeh pole sana! Fanya kuonana na wataalamu wa afya ya akili wa Muhimbili au Mirembe kwasababu kwa wakat huu tuna wabobezi hasa kwenye eneo Hilo!... Lakin pia kutokana na iman yako kama mkristo fanya uende kwenye maombi, Lakin kama muislamu fanya uende kwenye Dua maana hizi mambo za asili zipo sana!Kwa uchawi sijui ila marehemu baba mkwe alikuwa mganga sasa nao hawana hakika kama ilikuwa kweli au usanii, nilipoenda mara ya kwanza kijijini kwao waliniambia kuwa makini husitoe pesa hovyo kuna wachawi so sikufuatilia sana, na huyu mtoto alikwenda kijijini akiwa na miezi 6 mama yake alimpeleka sehemu kumchanja bila kumwambia mke wangu,yaani alimbeba na kutokomea naye wakati mke wangu amelala asubuhi
Naomba pitia hiyo link kuhusu Usonji (Autism) inaweza kutoa mwanga na kujua jinsi gani ya kupata msaada stahiki.Asante, wataalaam zaidi ya muhimbili ni wapi kama utanisaidia nitashukuru maana hata shuleni wamenipa Pole na wanasema nizunguke makanisani na endapo wataona hali inazidi kuwa mbaya watamfukuza shule tu
Shida ndo ilianzia hapo!Kwa uchawi sijui ila marehemu baba mkwe alikuwa mganga sasa nao hawana hakika kama ilikuwa kweli au usanii, nilipoenda mara ya kwanza kijijini kwao waliniambia kuwa makini husitoe pesa hovyo kuna wachawi so sikufuatilia sana, na huyu mtoto alikwenda kijijini akiwa na miezi 6 mama yake alimpeleka sehemu kumchanja bila kumwambia mke wangu,yaani alimbeba na kutokomea naye wakati mke wangu amelala asubuhi
Sogea Uone? 😀😀 Jamii Forum Haichoshi WallahiKwa maelezo hayo huyo mtoto ana biological neurological destruction/abnormalities. Waganga na mashehe hawez kupona. Na je anapitia vipindi mbalimbali vya kulegea mwili na kutoa mapovu mdomoni?
Familia mna mahusiano mazuri au ndo yale ya sogea uone?
Asante, shida mama mtoto hataki kuamini hawa kina mwamposa, kiboko ya wachawi na yule wa kimara yaani akiona wanatabilia watu hawataki kabisa, yeye kaokoka ila anaangukaga na kusimama, anamkubari Mwakasege ndipo alipookoka maana alikuwa anatoka damu puani mfulizo alipoenda kwenye semina kuombewa damu ikakata ndipo kuokoka pia mama yake alikuwa anaumwa hadi kuongea hawezi alipopelekwa semina ya Mwakasege akapona, na akisimama,kwa maombi sidhani kama pastor Irene Uwoya anamfikia.nitamshawishi twende hata kimara au kawe,nashukuru kwa ushauriDah pole chief. Mimi sina cha kuku shauri japo kwakwel nimeumizwa sana na haya uliyoeleza.
Kwakwel hapo, ni hospital kwa wataalamu lakin msaada wa kwel wa kiroho ndio suluhisho pekee naloliona hapo. MUNGU awasaidie .
Sina nijualo kuhusu waganga hivyo sikushauri uwa consult. Usiende kwa waganga
Akhsante,kuwapata hao masheikh kama utanisaidia na je gharama zao zikoje maana nisiende kichwakichwa kumbe ndiyo wale wasanii tuKwanza kabisa poleni sana kwa mtihani mnaopitia. Kwa ufahamu wangu mdogo nadhani hizo ndoto anazoota ni katika ndoto za mtu aliye patwa na majini na uchawi, hii ni strong possibility lakini sio conclusive.
Ushauri wangu ni kwamba tafuta tiba ya hilo ila uwe makini isiwe tiba kutoka kwa mtu anayetumia majini kutoa majini/uchawi, hii itaongeza tatizo in the long run kwa kuwa most of them kama sio wote wanachofanya ni ushirikina, so wanamtoa mtu kwenye tatizo moja na kumuingiza kwenye tatizo jengine (mostly kubwa zaidi).
Ikiwa wewe ni muislamu nenda kwa mashekhe wanaosomea RUQYA. Kwa ninachofahamu wengi katika hawa ambao wanafanya hii tiba sahihi ya Ruqya ni mashekhe wakisunna i.e. Abdulqadir (kaka yake Kishki), Mohamed Nduli etc. Ukienda kwa yoyote akakuambia lete mbuzi au kuku au sijui taja jina la mama au jini amepanda kichwani then ana-negotiate nae kwa yale anayoyataka jini ili atoke.... kimbia haraka sana, huyo anachofanya ni ushirikina na atakuzonga.
Shekhe Mohamed Nduli anapatikana Ilala, Mtaa wa Lindi na Mwanza (Maeneo ya Bungoni). Kuhusu gharama siwezi kukuambia ni kiasi gani coz itategemea na extent ya tatizo (kama ata-confirm kuwa lipo kupitia maelezo yako na kisomo atakacho msomea mgonjwa), ikiwa kuna jini kutakuwa na reaction tu. Na hiyo reaction inaweza hata ikatokea mkifika tu hapo coz kuna watu wengine mtawakuta wanendelea kusomewa, u may find ur daughter being a little bit uncomfortable being around there kama atakuwa analo hilo tatizo.Akhsante,kuwapata hao masheikh kama utanisaidia na je gharama zao zikoje maana nisiende kichwakichwa kumbe ndiyo wale wasanii tu
Nashukuru sana, kesho nitaenda kutafuta info za kutosha kwanza, nitakupa mrejesho nikiendaShekhe Mohamed Nduli anapatikana Ilala, Mtaa wa Lindi na Mwanza (Maeneo ya Bungoni). Kuhusu gharama siwezi kukuambia ni kiasi gani coz itategemea na extent ya tatizo (kama ata-confirm kuwa lipo kupitia maelezo yako na kisomo atakacho msomea mgonjwa), ikiwa kuna jini kutakuwa na reaction tu. Na hiyo reaction inaweza hata ikatokea mkifika tu hapo coz kuna watu wengine mtawakuta wanendelea kusomewa, u may find ur daughter being a little bit uncomfortable being around there kama atakuwa analo hilo tatizo.
As for Abdul qadir (kaka yake kishki) nadhani unaweza pata taarifa zake msikiti wa vetenary (karibu na petrol station ya Oilcom), zamani alikuwa anapatikana nyumbani kwake karibu na msikiti wa Tungi temeka ila nadhani amehama kule. But I'm sure kupata information zake haitokuwa shida kwa kuwa huyu ni mmoja katika mashekhe wakubwa zaidi wakisunna hapa Tanzania.
😢😢Asante, wataalaam zaidi ya muhimbili ni wapi kama utanisaidia nitashukuru maana hata shuleni wamenipa Pole na wanasema nizunguke makanisani na endapo wataona hali inazidi kuwa mbaya watamfukuza shule tu
Epilepsy na child disorders?. Uliwah kumpeleka psychiatry?Asante, wataalaam zaidi ya muhimbili ni wapi kama utanisaidia nitashukuru maana hata shuleni wamenipa Pole na wanasema nizunguke makanisani na endapo wataona hali inazidi kuwa mbaya watamfukuza shule tu