Tatizo gani hili kwa mtoto wangu?

Tatizo gani hili kwa mtoto wangu?

Hapana sijawahi, wapi nawapata hawa msaada please
Hawa ni madaktari wq magonjwa ya akili na mood. Huyo mwanao hapo anatibika vizur kabisa japo kwa muda mrefu..

Fanya kuandika zile tabia zake katika vipindi mbalimbaili, zifatilie na hakiki kama zinajirudia rudia. Download app moja inaitwa ada health, hii ni app ya watu wa muhimbili. Fanya kumpeleka hospitali omba kuonana na madktari wa afya ya akili sio psychologist hao ni psychiatrists. Wasomee hiyo record.

Wasomee pia majibu uliyoyatoa huko ada health, na hapo utaanza kupokea matibabu kulingana na dalili. Kuna watu wengi mm niliwahi kuwatibu kipind niko field miaka kadhaa nyuma. Wengi wanaowazunguka wanajua wamerogwa na mpaka mganga au mwamposa ashindwe ndo wanaletwaga hospitali
 
Asantevnimeshadownload ngoja nianzeifanyie kazi sasa hivi
 
Nimekutana na changamoto ya umri, mtoto kazaliwa 2013 ila hii app option inanipa mwisho 2008 au nijiongeze niweke mwaka wangu au 2008 niweke?
 
Ada health inafananisha dalili unazojaza na kuonesha ana ugonjwa gani. Its validity way.. jamaa wako accuracy sana na kipindi wanatafuta exceptional symptoms anazowez kukutana nazo mgonjwa app isizitambue tulikuaga nao. Fatilia kaka, hao wanaponaga kabisa yani muhim kufatilia dawa tu.

Niliwah kutibia kijana mmoja yeye alikumbwa na psychosis. Alikuwa na mradi/mapendekezo ya mradi ambayo altona haja ya kumuona mh. Rais na hapo katikati walijitokez watu wakataka kuunununa dogo akakataa. Zoezi la kumpata muheshimiwa halikuwa dogo, mana miezi sita anazungushwa tu pale Getini. Akapata mental crisis.. aliletwa na mama yake hata jina lake alikuwa alikumbuki vizuri
 
Pole sana, na hongera kwa kumjali binti yako kwa kupambana katika kuhakikisha anakuwa sawa, na happy birthday kwa binti yako Mungu ampe afya njema na maisha marefu yenye manufaa na baraka na yeye. Ikiwa mwanao amepigwa chanjo, mara nyingi matatizo kama hayo huwa yanawatokea baadhi ya watoto na kupelekea matatizo ya usonji. Jaribu kutafuta wataalamu wa magonjwa ya usonji wanaweza kukusaidia. Pole sana kwa mara nyingine tena najua jinsi gani tunavyoteseka katika kulea watoto wenye changamoto kama za mwanao.
Asante, kwenye chanjo nakumbuka kuna chanjo moja alichomwa chini ya umri wa kuchanja, yaani chanjo ya kwanza akiwa na miezi 3 then akiwa na miezi 6, sasa hiyo ya pili alipata akiwa bado muda wa kuchanja haujafika, sikumbuki vizuri maana nilienda kuwagombeza wakateteana eti haina madhara kabisa , bora ningeshitaki ningeweza kutembea na hiyo code, anyway hospital yenyewe ilishafungwa ni pale kwa masawe moroco b4 airtel makao makuu
 
Ada health inafananisha dalili unazojaza na kuonesha ana ugonjwa gani. Its validity way.. jamaa wako accuracy sana na kipindi wanatafuta exceptional symptoms anazowez kukutana nazo mgonjwa app isizitambue tulikuaga nao. Fatilia kaka, hao wanaponaga kabisa yani muhim kufatilia dawa tu.

Niliwah kutibia kijana mmoja yeye alikumbwa na psychosis. Alikuwa na mradi/mapendekezo ya mradi ambayo altona haja ya kumuona mh. Rais na hapo katikati walijitokez watu wakataka kuunununa dogo akakataa. Zoezi la kumpata muheshimiwa halikuwa dogo, mana miezi sita anazungushwa tu pale Getini. Akapata mental crisis.. aliletwa na mama yake hata jina lake alikuwa alikumbuki vizuri
Kapewq klinik after 3 months
Ya ocupational
Nyingine ijumaa ijayo pediatric
Then psy nadhani nitaomba day hiyo hiyoo
 
Pole sana
Ila duh Hivi Karne hii Bado Kuna watu mnaamini waganga?
Wale ni waongo jmn watakulua hela Yako tu

Usharudi wa bure hospital na
kwenye maombi viende sambamba Kwa huyo mtt
Ila ss wapi maana sio Kila kanisa liko vzr
Asante ndugu si unajua tena mfa maji waganga nao wanaweza tudaka ila ukijaribu hawa manabii wanaweza kumaliza hizi shida.
 
Asante ndugu si unajua tena mfa maji waganga nao wanaweza tudaka ila ukijaribu hawa manabii wanaweza kumaliza hizi shida.
Naelewa ila Bora tu usiende huko kabisa!
Kwa dar naweza kukueleieza sehem 2 ambalo Nina uhakika kwingine Sina uhakika kwakweli
Ni wachungaji tu Wala sio manabii mkuu.

Kuna Lutheran hapa kimara korogwe,Muda wowote peleka mtoto Kila siku utapata huduma
Au goba center Kuna mchungaji 1 hivi nae Yuko vzr,kanisa kinaitwa RGC
 
Duh mzee unatokea ukoo wa wachawi nini mtoto anaota anapaa na anakula nyama limekaa kishirikina mzee hospital utapoteza muda kama una sali sali sana kama ni kaisari komaa huko. Huyo hana usonji mapepo tu hayo
 
Kwa uchawi sijui ila marehemu baba mkwe alikuwa mganga sasa nao hawana hakika kama ilikuwa kweli au usanii, nilipoenda mara ya kwanza kijijini kwao waliniambia kuwa makini husitoe pesa hovyo kuna wachawi so sikufuatilia sana, na huyu mtoto alikwenda kijijini akiwa na miezi 6 mama yake alimpeleka sehemu kumchanja bila kumwambia mke wangu,yaani alimbeba na kutokomea naye wakati mke wangu amelala asubuhi
Sasa kumbe shida ushaijua huyo mkeo kwao wachawi mzee kazi unayo dogo ashaanza kupaa. Ndio maana wazee wetu walikuwa wanazichunguza koo kabla ya kuoa. Ndio ivyo ushayavulia nguo huna budi kuyaoga wewe mpambanie kwa ground maana hospital utapoteza muda na hela hadi utafirisika. Dah mtoto mdogo anapigwa chale??? Mimi ningeuwasha moto sana
 
Pole sana ndugu na pole kabinti yako naamini alikua na siku nzuri ya furaha kwa kumbukizi ya kuzaliwa, Happy birthday kwake.

Ndugu yangu tuna mwamini Mungu sote , kwamba mwenyezi Mungu hakuna kilicho kigumu kwake na pia Mungu ni wa wote haidhuru una makosa kiasi gani lakini hajawahi kitenga na na mwanadamu aliye bisha hodi kwake.
Kwa jinsi hio brother hapo kwa wachungaji makanisa mashaikh na waganga pata kupotezea muda na garama mno, na inaweza isifikiwe kufanikiwa.

Ushauri wangu kama maoni ya pale awali dili nae kwa hospitali na wataamu huku wewe ukipiga goti kumsihi Mungu aonyeshe na kuwakutanisha na njia sahihi.

Ujaliwe kufanikiwa ndugu yangu, pole sana kwenu na mtoto wenu, Mungu awe upande wenu wakati huu.
 
Shekhe Mohamed Nduli anapatikana Ilala, Mtaa wa Lindi na Mwanza (Maeneo ya Bungoni). Kuhusu gharama siwezi kukuambia ni kiasi gani coz itategemea na extent ya tatizo (kama ata-confirm kuwa lipo kupitia maelezo yako na kisomo atakacho msomea mgonjwa), ikiwa kuna jini kutakuwa na reaction tu. Na hiyo reaction inaweza hata ikatokea mkifika tu hapo coz kuna watu wengine mtawakuta wanendelea kusomewa, u may find ur daughter being a little bit uncomfortable being around there kama atakuwa analo hilo tatizo.

As for Abdul qadir (kaka yake kishki) nadhani unaweza pata taarifa zake msikiti wa vetenary (karibu na petrol station ya Oilcom), zamani alikuwa anapatikana nyumbani kwake karibu na msikiti wa Tungi temeka ila nadhani amehama kule. But I'm sure kupata information zake haitokuwa shida kwa kuwa huyu ni mmoja katika mashekhe wakubwa zaidi wakisunna hapa Tanzania.
Jana nilipita magomeni mtaa wa kalema pale wanapofanya dua, nilikuta washaondoka nasikia ni saa nne wanamaliza mimi nilipita saa nane, nikatoka pale nikaenda ilala kwa sheikh Nduli nikakuta ofisi na watu wanafanyiwa dua, kuna mdada kanikaribisha akanipa maelezo kuwa kuna kufungua file ni Tsh5000 alafu akijua tatizo ndiyo atakupa bei yake, nafikiria kumpeleka next week.
Asanteni
 
Back
Top Bottom