Za jioni naomba kuuliza tatizo la gari inapofika kwenye mlima mshale wa spidi haupandi kuzidi namba 2
Pale ila ikifka tambalale unatembea kawaida
Na matumizi ya mafuta yameongezeka kwa hizi siku mbili baada ya ili tatizo kutokea
Gari ni carina si
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
Plugs nimebadili leo mkuu tatizo tatizo kama limepungua lakin bado naskia kwa mbali hasa mlimaniMkuu unamaanisha kuwa gari lako speed meter yake inasoma kuanzia mbili?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mie najua kunakuwa na mstari mrefu ambao ndio zero, mdogo ukionesha 10 na namba ya kwanza kuonekana ni 20.
Labda unamaanisha upande wa RPM ambao namba yeyote lazima uzidishe mara 1000 kwa kila dakika. Hii huonesha mzunguko wa engine yako inaendaje kwa kadiri unavyokanyaga mafuta.
Kuhusu kupungua nguvu na kuongezeka kwa matumizi ya mafuta badilisha plugs kwanza halafu uangalie inaendaje.
Gari haina mis ya aina yeyote ile?
DuuuhRpm ndo nini mkuu mishale ipo yote miwli lkn ule mrefu ndo unaishia hapo ukiwa mliman
Sent using Jamii Forums mobile app
Revolutions Per Minute (RPM). Hupima mzunguko wa engine yako katika crank shaft. Hata ukisoma katika bandiko langu la awali nimegusia hii kitu. Kama bado shida ipo cheki na Air Cleaner sensor, ATF ya Gear Box na pia pump yako ya petroli. Inawezekana ikawa ndio inakuagaRpm ndo nini mkuu mishale ipo yote miwli lkn ule mrefu ndo unaishia hapo ukiwa mliman
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ahsante kwa ushauri nitafatilia vizuri vyote hivoRevolutions Per Minute (RPM). Hupima mzunguko wa engine yako katika crank shaft. Hata ukisoma katika bandiko langu la awali nimegusia hii kitu. Kama bado shida ipo cheki na Air Cleaner sensor, ATF ya Gear Box na pia pump yako ya petroli. Inawezekana ikawa ndio inakuaga